isyesye Member Joined Aug 14, 2016 Posts 51 Reaction score 22 Jun 27, 2017 #1 habari wakuu ningeomba nijue bei ya kopo za kuuzia juice zile disposable kwa dar bei ya jumla ni shngapi na bei ya take away za kuwekea chakula zile zenye rangi ya silva mfuniko wake kwa ndan unakuwa mweupe. natanguliza shukrani
habari wakuu ningeomba nijue bei ya kopo za kuuzia juice zile disposable kwa dar bei ya jumla ni shngapi na bei ya take away za kuwekea chakula zile zenye rangi ya silva mfuniko wake kwa ndan unakuwa mweupe. natanguliza shukrani
dustless JF-Expert Member Joined Oct 21, 2016 Posts 796 Reaction score 714 Jun 27, 2017 #2 Watakuja wahusika. Ila ni vema ukasema uko wapi.
isyesye Member Joined Aug 14, 2016 Posts 51 Reaction score 22 Jun 27, 2017 Thread starter #3 napatikana mbeya mkuu