T-Bagwell
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 1,245
- 2,387
Unaweza fanya mazoezi
Au unaweza tumia Dawa za uzazi wa mpango(OCPs) kama Flex P
Ila ni vyema ungetafuta kwanza chanzo cha kujua kinachosababisha wewe kuwa na hiyo hormone kwa wingi.
Unaweza fanya mazoezi
Nahitaj kubeba mimba so flex p sitawezaUnaweza fanya mazoezi
Au unaweza tumia Dawa za uzazi wa mpango(OCPs) kama Flex P
Ila ni vyema ungetafuta kwanza chanzo cha kujua kinachosababisha wewe kuwa na hiyo hormone kwa wingi.
mkuu soma tena ulichoandika maana sidhani kama uko sahihi kulingana na hitaji la mleta madaDawa yake ni primolut N ,, kuna brand name nyingine inaitwa hivuo hivyo testerone,, doz inatofautiana a ukubwa wa watatizo ila kama unavyojua ukimaliza lazima ukae kama siku 2-4 utableed ,,