MESHACK WARIOBA
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,068
- 1,174
Inafaa mkuu!! itategemea pia na ufaulu wako ngazi ya diploma!!habari za siku mkuu,naomba kujuzwa inawezekana mtu kusoma bachelor ya computer engineering kwa cheti cha diploma ya IT
Computer engineering sio hardware za pc, it the total hardware of electronics + programmingInafaa mkuu!! itategemea pia na ufaulu wako ngazi ya diploma!!
Pia kuna kozi pia inaitwa software engineering iko njema sana pia japo haigusi sana hardware ya pc kama computer engineering!
Mbona kama wewe ndio unachanganya? Ivi hardware haihusishi electronics? Matherboard haina electronics components?Computer engineering sio hardware za pc, it the total hardware of electronics + programming
Sijachanganya mkuu nimesema total hardware za electronics inamaana hata motherboard imo.Mbona kama wewe ndio unachanganya? Ivi hardware haihusishi electronics? Matherboard haina electronics components?
Unasoma bila shida yoyotewadau naombeni mnipe msaada kuwa mimi nmesoma masomo ya arts naweza nikasoma certificates ya information technology ikiwa mathe nina alama D wana kikundi naombeni msaada kutoka kwenu
Dogo IT Imo ndani ya computer science.
Computer science Ina wigo mpana wa kusoma mambo mengi ambapo mtu wa IT hasomi.
Dogo ni sawa na mtu anaesoma BAM na mwingine Advanced Mathematics ukasema wote wamesoma mathematics.
IT is like BAM while computer science is Advanced mathematics.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zote zina programming isipokuwa kwenye IT programming ni kwauchache ingawa inategemea na chuo hata hivyo programming hiyo aifikii ya kwenye C.S.
Karibu Fulgent Careers, washauri wa masuala ya elimu na ajira ndani na nje ya nchi. Huduma ya ushauri wa kozi na vyuo unatolewa kwa gharama ya Tsh 10,000 tu.0769 524 022wadau naombeni mnipe msaada kuwa mimi nmesoma masomo ya arts naweza nikasoma certificates ya information technology ikiwa mathe nina alama D wana kikundi naombeni msaada kutoka kwenu
Unalisha sana watu matangopori! Nawe upo sekta hii?Kwa tanzania soma IT .kwani hakuna computer science hapa nikupoteza muda tu. Ila IT ipo sana maana hapa tanzania tuna -information science basi hakuna computer science
KLMY hapa umeandika nini mkuu? [emoji23]Kwa tanzania soma IT .kwani hakuna computer science hapa nikupoteza muda tu. Ila IT ipo sana maana hapa tanzania tuna -information science basi hakuna computer science