Lodrick Thomas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 1,339
- 2,432
Kwenye vyuo ulivyotaja wana kozi ya software engineering?Acha kumpoteza dogo kwenye masuala ya technology udom ni zero kabisa.
Kwenye computer science chuo kizuri.
DIT
IFM
UDSM
At least wako vizuri.
Au aende pale science kinondoni watu wanapiga programing, wana develop system za company kama TIGO. Watamshauri kitu kizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kama kuna direct course ya SW engineering ila kuna vyuo mnasoma wote computer science hlf mna split second year kutokana na optional course utakazochagua kuna wanaokuwa Software engineering hawa wanaochagua high level programming languages, object orirnted -java n.k hlf wengine wanao opt kusoma may be IT security n.k. wanakuwa upande wa Information Systems.
Mkuu Sina uhakika kama zipo ila shida ni kwamba baada ya kuhitimu anaweza kuwa innovative kwenye programing au ndo atatoka ka kiazi tu hajui chochete. Mshauri chuo na course ambapo akimaliza anaweza kutengeneza kitu ambacho ni marketable in technology.
Uko sahihi unachosema ila Nilikua naongelea pure SW Engineering!!Sijui kama kuna direct course ya SW engineering ila kuna vyuo mnasoma wote computer science hlf mna split second year kutokana na optional course utakazochagua kuna wanaokuwa Software engineering hawa wanaochagua high level programming languages, object orirnted -java n.k hlf wengine wanao opt kusoma may be IT security n.k. wanakuwa upande wa Information Systems.
Sent using Jamii Forums mobile app
ila shida ni kwamba baada ya kuhitimu anaweza kuwa innovative kwenye programing au ndo atatoka ka kiazi tu hajui chochete. .
Kumbe unaamini hata ukisoma dit ...udsm..udom...ifm unaweza kuoka kapa kama hujitumi??
Sasa kwann unasema udom hawafai kama unaweza kusoma ifm au udsm ukatoka kapa??
Anyways...Nilikua naongelea Software engineering ambayo kwa tz inapatikana udom pekee!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuelewa, ila software engineering ni kipisi kidogo sijasikia kama kuna pure course/degree kwa hapa tzUko sahihi unachosema ila Nilikua naongelea pure SW Engineering!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko udom mkuu...!! Na ndio maana nikamshauri mleta mada aangalie na huko!!Nilikuelewa, ila software engineering ni kipisi kidogo sijasikia kama kuna pure course/degree kwa hapa tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuuDogo IT Imo ndani ya computer science.
Computer science Ina wigo mpana wa kusoma mambo mengi ambapo mtu wa IT hasomi.
Dogo ni sawa na mtu anaesoma BAM na mwingine Advanced Mathematics ukasema wote wamesoma mathematics.
IT is like BAM while computer science is Advanced mathematics.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu, ila computer engineering nayo c tofauti na computer science?IT au information technology inadeal na watu, software, hardware na kusaidia biashara..
Ndani ya IT kuna computer science, information systems, information science, library systems, computer systems etc..
Computer science msingi mkubwa ni hesabu na high level programming kama Java, C#, python na wengine. Kuelewa zaidi about tatizo, huwa anatumia UML diagrams etc..
Computer systems inakuwa inagusa programming, electronics kidogo na hesabu za logic..
Information systems inakuwa ni programming za C#, Vb lakini kikubwa ni kujua biashara inakuwa assessed vipi kutumia system analysis and design..
Information science huwa inakuwa linked na library. Hawa wanajifunza programming kujua basics ila tegemeo kubwa ni graphics na storing of metadata..
Baada ya minor analysis hiyo, software engineering mara zote ni course kama database, website designing etc.. kikubwa kwenye software engineering ni kujifunza kunyambua system ili a programmer, database analyst, network specialist, etc waweze kukamilisha na submit a working system.. software engineering kwa computer science ni sawa na system analysis and design kwa mtu wa information systems..
Kama una passion ya programming (wachache sana huwa nayo) nenda computer engineering, minor iwe masomo ya information systems..
Kuhusu chuo, nimeona watu wa vyuo vya tech wazuri kwenye programming na networking ila wanasumbuka kuelewa theory.. vice versa inaaply vyuo vya kawaida..
jiweke karibu na watu wa biashara na siku zote waza, what can I do kuwasaidia with a system??
*don't mind typo, kikubwa ujumbe umefika*
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiuhalisia, computer engineering ni somo ndani ya degree ya computer science..Asante mkuu, ila computer engineering nayo c tofauti na computer science?
Sent using Jamii Forums mobile app
Not true...everDogo IT Imo ndani ya computer science.
Computer science Ina wigo mpana wa kusoma mambo mengi ambapo mtu wa IT hasomi.
Dogo ni sawa na mtu anaesoma BAM na mwingine Advanced Mathematics ukasema wote wamesoma mathematics.
IT is like BAM while computer science is Advanced mathematics.
Sent using Jamii Forums mobile app