Okay iko hivi, leaving videos. Kama unawasiwasi watu wanakurupua, huo mtandao ndio easy way ya kutext na mtu bila watu kujua hata yeye asibaki na historia. No screenshot, text ziko deleted within minutes tu baada ya kuchat. Mtu akiscreenshot lazma ujue so wengi hawafanyi hivo. Ni rahisi sana kuchepuka huko. Wanawake wengi sana saiv wanatumia snapchat messaging.