UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,316
Hi! Naombeni kujuzwa ni PIN zipi niingize wakati wa kufanya configuration ya voda internet kwenye simu yangu! Ahsante!
samsung s4Hakuna pin hapo,labda unamaanisha IP address ila pia configuration zinatofautiana kulingana na aina ya simu,kama ni smartphone au la.. ni simu gani iyo?
Zote nimejaribu lakini bado imekataa, nimejaribu mara nyingi kadri iwezekanavyo kuwasiliana na customer lakini siwapati kabisa, simu inaishia call endedJaribu 1234 au 12345 au 0000. Ila wanatakiwa kabla ya kutuma configuration wakutajie pin