Chuo kipo njombe ila nje kidogo nauli kama 6000 ni chuo cha dini so kinaongozwa na misingi ya kidini pia...kinatoa course ya Nursing na Clinical officerWadau please mwenye kukifahamu hiki chuo naomba anijuze kuhusu ubora wake katika hizi fani za afya.
Natanguliza shukran