Nijuzeni! Kuhusu Certificate na Elimu ya Form Four

Nijuzeni! Kuhusu Certificate na Elimu ya Form Four

CaptainRobinMorgan

Senior Member
Joined
Apr 6, 2018
Posts
106
Reaction score
265
Habarini za mchana wakubwa....ni kwa nini serikali inahesabu mtu mwenye elimu ya form four na aliyesomea fani akafikia certificate kua wako sawa katika salary scale?

He haioni kwamba huyu mtu amesoma ba kufanikiwa kupata utaalam kwenye fanu husika tofauti na huyu form four?

Ni kwa nini wote wawekwe kwenye salary scale moja?!

Hapa nazungumzia majeshini sijajua kama kada zingine Nazo hali iko hivi hivi...
 
Elimu ya Mjinga ni majungu (hili bandiko halihusiani na bandiko lako)
 
Jeshini, mkuu nadhani umeleta bomu watu walichezee
 
Wadau walishakatazwa kuongelea mambo ya majeshi
 
Sasa unataka certificate ipewe hadhi gani jamn jikongoje uondoke kwenye kundi la wengi!
Mbona sisi PHD holders hatulalamiki kulipwa mshahara kwa scale ya bachelor degree?.
 
Back
Top Bottom