Nijuzeni jamani...Kigoli ni mwanamke wa namna gani???!!!!....

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
412
Huwa nakanganyikiwa pale ninaposikia mtu anasema mwanamke fulani bado kigoli kabisa kiukweli sielewi hapa anazungumziwa mwanamke wa namna gani. Je mwanamke kigoli anamzidi nini mwanamke mwingine au kigoli anapungukiwa na kitu gani???:frusty:
 
Kigoli maana yake mbichi au bado mdogo....
Kuanzia 16 mpaka 22 hivi.....
Sometimes huwa wanaamanisha pia msichana bikira.....
 
Kigoli ni msichana aliyekwisha balehe (kupevuka) yaani aliyevunja ungo ambapo yupo katika hatua hizo lakini hajawahi kuingiliwa na mwanaume kimwili.

Sina uhakika kwa wale wasagaji, i mean msichana amekwisha pevuka then hajaingiliwa na mwanaume ila anasagana kama nae ni kigoli bado.

Siku hizi vigoli havipatikani kaka, watoto wajuvi tangu udogoni.
 
Siku hizi vigoli havipatikani kaka, watoto wajuvi tangu udogoni.[/QUOTE] ..Si mchezo mkuu...kama ndio hivyo basi ni balaa niliwahi kukumbana na kabinti only 16yrs lakini sikuamini nilichokutana nacho!! ndio hapo huu msamiati wa kigoli nilipokumbana nao!!! Eh!!!:A S-eek::pound:
 
Huu msamiati muheshimiwa unakaribia kutolewa kwenye kamusi ya kiswahili kwani matumizi yake ni karibu na zero, kwani hawapo, sikuhizi kitoto kidogo tu hubembelezi. Sasa twende huko mzigoni he! mpaka jasho litakudondoka!!!:pound:
 
FATAKI FATAKI FATAKI, REAL FATAKI's.
MTOTO WA MWENZIO NI WA KWAKO, MLINDE (MAMA SALMA KIKWETE)
 
niliwahi kukumbana na kabinti only 16yrs lakini sikuamini nilichokutana nacho!! Break pum.................Utajuta unaenda unajigamba nimechukua chuma kibichi Mburrah!!!Uanasikia kanakuuliza umeingiza yote ehe???
 
Kigoli maana yake mbichi au bado mdogo....
Kuanzia 16 mpaka 22 hivi.....
Sometimes huwa wanaamanisha pia msichana bikira.....
Mkuu kwa kigezo cha umri sijui tuliweke vipi hili maana na mimi huwa linanichanganya sana. Nimewahi kusikia mdada f'lani umri wake kati ya 28-30 anadai ni bikira nae yuko kwenye kundi la vigori?
 
Kigoli ni msichana aliyekwisha balehe (kupevuka) yaani aliyevunja ungo ambapo yupo katika hatua hizo lakini hajawahi kuingiliwa na mwanaume kimwili.

Sina uhakika kwa wale wasagaji, i mean msichana amekwisha pevuka then hajaingiliwa na mwanaume ila anasagana kama nae ni kigoli bado.

Siku hizi vigoli havipatikani kaka, watoto wajuvi tangu udogoni.
kweli kabisaaaaaaaaa mkuu (red)

FATAKI FATAKI FATAKI, REAL FATAKI's.
MTOTO WA MWENZIO NI WA KWAKO, MLINDE (MAMA SALMA KIKWETE)
wengine husema mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio:pound:
 
Jamani mimi nawezakuwa kidogo tofauti labda nikamuulize bibi shamba mimi nijuavyo ni binti anaye elekea kubarehe na ajabarehe ajavunja hungo huyo ndiye kigoli akivunja hungo basi huyo ni mwali au nimekosea??
 
..Si mchezo mkuu...kama ndio hivyo basi ni balaa niliwahi kukumbana na kabinti only 16yrs lakini sikuamini nilichokutana nacho!! ndio hapo huu msamiati wa kigoli nilipokumbana nao!!! Eh!!!:A S-eek::pound:

huyo binti ulikumbana naye vipi?

angalia usije ukachuchumalia debe siku moja.... kama ni yale mambo yetu basi uangalie kuanzia 18+ na asiwe mwanafunzi... ni ushauri wa bure tu kaka.... samahani kama nimekukwaza...
 
maana yake ni msichana ambaye bado hajashiriki ngono; na mara nyingi huhushwa watoto wadogo chini ya miaka 18 hivyo ndg yangu nakuonya usije shawishika na watoto utafungwa miaka 30 au utaozea maisha yote selo and that will be the end of your sexual adventure! be warned!:A S 114:
 
Yaani kumbe ishu ni kufungwa mi nilidhani ishu hapa ni maisha ya hawa "sidanganyiki". Kwa maneno mengine adhabu ikiondolewa basi poa tu twende kazi duh!
 
quote_icon.png
Originally Posted by PAPAA ZM
Huu msamiati muheshimiwa unakaribia kutolewa kwenye kamusi ya kiswahili kwani matumizi yake ni karibu na zero, kwani hawapo, sikuhizi kitoto kidogo tu hubembelezi. Sasa twende huko mzigoni he! mpaka jasho litakudondoka!!!:pound:

FATAKI FATAKI FATAKI, REAL FATAKI's.
MTOTO WA MWENZIO NI WA KWAKO, MLINDE (MAMA SALMA KIKWETE)

hii nimeipenda...imetulia!!:smash:
 
Back
Top Bottom