Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nijuzeni jamani...Kigoli ni mwanamke wa namna gani???!!!!....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sajenti, Jul 7, 2010.

 1. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,677
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Huwa nakanganyikiwa pale ninaposikia mtu anasema mwanamke fulani bado kigoli kabisa kiukweli sielewi hapa anazungumziwa mwanamke wa namna gani. Je mwanamke kigoli anamzidi nini mwanamke mwingine au kigoli anapungukiwa na kitu gani???:frusty:
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 36,612
  Likes Received: 16,495
  Trophy Points: 280
  Kigoli maana yake mbichi au bado mdogo....
  Kuanzia 16 mpaka 22 hivi.....
  Sometimes huwa wanaamanisha pia msichana bikira.....
   
 3. C

  Chipyopyo Member

  #3
  Jul 7, 2010
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kigoli ni msichana aliyekwisha balehe (kupevuka) yaani aliyevunja ungo ambapo yupo katika hatua hizo lakini hajawahi kuingiliwa na mwanaume kimwili.

  Sina uhakika kwa wale wasagaji, i mean msichana amekwisha pevuka then hajaingiliwa na mwanaume ila anasagana kama nae ni kigoli bado.

  Siku hizi vigoli havipatikani kaka, watoto wajuvi tangu udogoni.
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 42,652
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280
  Kigoli ni binti aliyebalehe lakini dado ni bikira!!
   
 5. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,677
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
   
 6. P

  PAPAA ZM Member

  #6
  Jul 7, 2010
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu msamiati muheshimiwa unakaribia kutolewa kwenye kamusi ya kiswahili kwani matumizi yake ni karibu na zero, kwani hawapo, sikuhizi kitoto kidogo tu hubembelezi. Sasa twende huko mzigoni he! mpaka jasho litakudondoka!!!:pound:
   
 7. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2010
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 954
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45

  FATAKI FATAKI FATAKI, REAL FATAKI's.
  MTOTO WA MWENZIO NI WA KWAKO, MLINDE (MAMA SALMA KIKWETE)
   
 8. P

  PAPAA ZM Member

  #8
  Jul 7, 2010
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sina maana ya kwamba nawatafuna hawa watoto la hasha lakini hii ndio hali halisi iliyopo!!!!!!!!!!!!!
   
 9. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 9,618
  Likes Received: 1,026
  Trophy Points: 280
   
 10. Fisherscom

  Fisherscom JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2010
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,206
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mkuu kwa kigezo cha umri sijui tuliweke vipi hili maana na mimi huwa linanichanganya sana. Nimewahi kusikia mdada f'lani umri wake kati ya 28-30 anadai ni bikira nae yuko kwenye kundi la vigori?
   
 11. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #11
  Jul 7, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,536
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  kweli kabisaaaaaaaaa mkuu (red)

  wengine husema mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio:pound:
   
 12. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #12
  Jul 7, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 12,660
  Likes Received: 904
  Trophy Points: 280
  Wadada wa humu janvin wameikimbia hii mada, sijui hawaqualify!!:A S-confused1:
   
 13. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #13
  Jul 7, 2010
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,026
  Likes Received: 537
  Trophy Points: 280
  kigori ni msichana anaekaribia kuvunja ungo,
   
 14. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #14
  Jul 7, 2010
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,026
  Likes Received: 537
  Trophy Points: 280
  kinyume chake ni mwari (aliyevunja ungo)
   
 15. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #15
  Jul 7, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 9,618
  Likes Received: 1,026
  Trophy Points: 280
  Jamani mimi nawezakuwa kidogo tofauti labda nikamuulize bibi shamba mimi nijuavyo ni binti anaye elekea kubarehe na ajabarehe ajavunja hungo huyo ndiye kigoli akivunja hungo basi huyo ni mwali au nimekosea??
   
 16. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #16
  Jul 7, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 13,531
  Likes Received: 899
  Trophy Points: 280
  Kigoli ni binti ambaye hajaruhusu magoli nyavuni kwake bado
   
 17. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #17
  Jul 7, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  huyo binti ulikumbana naye vipi?

  angalia usije ukachuchumalia debe siku moja.... kama ni yale mambo yetu basi uangalie kuanzia 18+ na asiwe mwanafunzi... ni ushauri wa bure tu kaka.... samahani kama nimekukwaza...
   
 18. minda

  minda JF-Expert Member

  #18
  Jul 12, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,065
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  maana yake ni msichana ambaye bado hajashiriki ngono; na mara nyingi huhushwa watoto wadogo chini ya miaka 18 hivyo ndg yangu nakuonya usije shawishika na watoto utafungwa miaka 30 au utaozea maisha yote selo and that will be the end of your sexual adventure! be warned!:A S 114:
   
 19. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #19
  Jul 14, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Yaani kumbe ishu ni kufungwa mi nilidhani ishu hapa ni maisha ya hawa "sidanganyiki". Kwa maneno mengine adhabu ikiondolewa basi poa tu twende kazi duh!
   
 20. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #20
  Jul 17, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hii nimeipenda...imetulia!!:smash:
   
Loading...