worms
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 964
- 893
Habari ndugu zangu.
Nina mdogo wangu aliyemaliza form six aka-apply diploma ya Law na Procurement and supply katika vyuo viwili tofauti. Kote amechaguliwa, sasa nataka tumshauri
= ipi ni nzuri katika soko la ajira
= ipi ina opportunity nyingi kwamba anakuwa multiskilled kuweza fanya kazi za aina mbali mbali kirahisi.
= ipi yenye ahueni kimaisha ...kimapato etc.
Karibuni jamani mchangie. Tupo njia panda