WAna JF ninashida na software inayofanana sifa na download manager, mfano ukiplay video kutoka kwenye website inakuletea option ya kuchagua kama unataka kudownload
kama unatumia mozilla firefox jaribu kuadd add-ons, nenda kwenye tools,thn add-ons halafu search for dwhelper,youtube downloader, au tumia generic keyword video downloader.... Ila kwa ushauri wangu kwanini usitumie hiyo hiyo internet dowload manager (idm) ni nzuri sana coz inadowload kila aina ya dowloadable file kutoka kwenye internet
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.