Nijizuieje nisile RUSHWA?


Bado sikubaliani na approach yako! Sidhani kama wengine walioendelea ndivyo walivyofanya! Lazima awepo mtu wa kusema NO na kuwakemea wengine.
 
Mkuu,
Waeleweshe wateja wako wawe wanakupa zawadi baada ya kuwahudumia vizuri. Hiyo iwe ndo asante yao kwako, inaitwa "tips" siyo rushwa.
 
Hiyo sio rushwa wewe, kula tu.
Lazima tujue tofauti ya vitu kama
TAKRIMA,
AHSANTE,
TIPS,
KEEP CHANGE,
KUONANA,
RUSHWA,
KIWEKA UZITO and the like.
kama huwezi nipigie pande nije nifanye hapo halafu we ''tutaonana'' baadae
 
Nahisi naijua ofisi anayo fanya kazi. Itakua ni £€$ mana pale napo hawako nyuma na vijinoti vya ndani ya form....kijana sio rushwa hyo. Haina hata athar kwenye uchumi. Rushwa ni ile wanakula jamaa wale. Hadi watu saahz tuko gizani.
 
Wakuu mnanichanganya mjue....70% wananiambia nilambe rushwa kwa vile ni ndogo nikizoea si nitakuwa kama hao mliowataja?
 
Bado sikubaliani na approach yako! Sidhani kama wengine walioendelea ndivyo walivyofanya! Lazima awepo mtu wa kusema NO na kuwakemea wengine.
Sehemu nyingi zilizoendelea kulikuwa na total destruction,japo si rushwa tu,mfano hiroshima-bomu,rwanda inakuja kasi-vita,ujerumani,uingereza,urusi-world war
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…