Niishi vipi na huyu jamaa yangu

Niishi vipi na huyu jamaa yangu

Kijana tatizo usilikimbie.....we tafuta jiko lako, uwe unajipikia na pia usioyeshe kama kuna kabifu kati yenu (yaani iwe kiroho safi). Maana mwanaume hatunaga shida katika masuala kama hayo na yawezekana jamaa anafurahia mnapokuwa pamoja lakini mwanamke ndo shida.......so ww anza kujipikia bila kinyongo. Maana hupotezi kitu...We call it "peace negotiation treaty" very easy.
 
Na hili linahitaji ushauri kweli? Sasa utakuwa baba au mume wa aina gani kama na mambo ya kawaida kabisa yanakupashida?
 
Ushauri umeshapewa ndugu yangu anza kujipikia mwenyewe wala sio kazi kubwa ukiona jamaa yako atakumaindi anza kula nje na Nyumbani ukirudi home umeshiba haitaleta mgogoro manake mpaka shemejio kuuliza hivyo ni wazi kuwa kakuchoka kabisa
 
sasa ndugu nikipika hapo nyumbani ntalia wapi!!? chumbani kwangu..? je ntaelewekaje na nafiki yangu... mi naona cha msingi ni kuhama tu kama wengine walivyoshauri. tena naanza kutafta nyumba leo leo hii
 
Hata huo pia ni uamuzi mzuri ndugu
 
Hama kapange kwingine mkuu. Nahisi katika kula,kuna katabia unako ambako hakavumiliki,so jamaa kashindwa kukwambia maana ni yeye aliyekushawishi uhamie hapo.

Hama tu mkuu.
 
Bila shaka mu bukheri wa afya,

Kuna jamaa yangu ameniomba sana niishi nae ktka nyumba ya kupanga ambayo anaishi yeye na mkewe na mtoto wao mmoja.

Kisa kiko hivi, hiyo nyumba alikuwa anaishi na mwenye nyumba ambae amefariki kama wiki mbili hivi. kwa kuwa nyumba ni kubwa jamaa yangu kanimba nichukue na mimi chumba hapo kisa yeye anaogopa kuishi hapo peke yake na et nkikataa hata yeye atahama.

kwa kuwa hata mimi nilikuwa ninaharakati za kutafuta nyumba nyingine ya kupanga nikaona nimkubalie kwani nyumba yenyewe ina kiwango kizuri.

Tatizo lililonifanya niombe ushauri ni hivi, toka nihamie hapa tumekuwa tukishea chakula means nakontribute then shemeji anapika chakula cha wote. Lakini jana shemeji kanifuta usiku wakati nakula cha chakula cha usiku akaniuliza swali ambalo nilishindwa kumjibu papo kwa hapo, kaniuliza hivi "Shemu tutaendelea kula pamoja au utaanza kujipikia chakula chako?" kwa kweli nilimwambia anipe muda nitafakari! Huku nikiwaza amefikiria nini kuniuliza swali kama lile!!

Kujipikia sio tabu lakini sasa kwa jinsi tunavyoishi na huyu jamaa yangu cjui atanielewaje. Maana tunashea sebule na kila kitu tulichokikuta hapo, mi naingia chumbani kwangu nae anaingia kwake.

ushauri wenu wadau. Ingekuwa ww ndo mimi ungechukua uamuzi gani katika hili!!?
Unaroho ngumu hii ofa ilitokea kwangu mwaka huu mwezi 6 nikaitolea nje kabisa mie napenda uhuru pia kuna kipindi sipendi kupika nakula matunda usiku hata wiki
 
Kuna vitu mwanaume hatakiwi kulalamikalalamika kwenye social network, ni AIBU.
 
Bila shaka mu bukheri wa afya,

Kuna jamaa yangu ameniomba sana niishi nae ktka nyumba ya kupanga ambayo anaishi yeye na mkewe na mtoto wao mmoja.

Kisa kiko hivi, hiyo nyumba alikuwa anaishi na mwenye nyumba ambae amefariki kama wiki mbili hivi. kwa kuwa nyumba ni kubwa jamaa yangu kanimba nichukue na mimi chumba hapo kisa yeye anaogopa kuishi hapo peke yake na et nkikataa hata yeye atahama.

kwa kuwa hata mimi nilikuwa ninaharakati za kutafuta nyumba nyingine ya kupanga nikaona nimkubalie kwani nyumba yenyewe ina kiwango kizuri.

Tatizo lililonifanya niombe ushauri ni hivi, toka nihamie hapa tumekuwa tukishea chakula means nakontribute then shemeji anapika chakula cha wote. Lakini jana shemeji kanifuta usiku wakati nakula cha chakula cha usiku akaniuliza swali ambalo nilishindwa kumjibu papo kwa hapo, kaniuliza hivi "Shemu tutaendelea kula pamoja au utaanza kujipikia chakula chako?" kwa kweli nilimwambia anipe muda nitafakari! Huku nikiwaza amefikiria nini kuniuliza swali kama lile!!

Kujipikia sio tabu lakini sasa kwa jinsi tunavyoishi na huyu jamaa yangu cjui atanielewaje. Maana tunashea sebule na kila kitu tulichokikuta hapo, mi naingia chumbani kwangu nae anaingia kwake.

ushauri wenu wadau. Ingekuwa ww ndo mimi ungechukua uamuzi gani katika hili!!?
muuluze shem vipi kachoka kupika au vipi, akuchane tu sio kufichaficha.
maisha ya ku-share vitu mazuri sana ila binafsi siwezi ku-share properties kama hizo za ndani coz napenda kuwa free, so nakushauri kaa na huyo jamaa yako.muona namna ya kila mtu kuishi kivyake.
urafiki utabaki palepale
 
Back
Top Bottom