Niichukie ipi kati ya Mercedes-Benz C 220 Na BMW M3

BMW au Benz iwe petrol au iwe diesel hamna ata inayokula mafuta..natumia ya petrol c 220 inakula km 13 per litre..sema saiv imeanza zingua engine inaleta miss ila ata ulaji wa mafuta haijaongezeka wala...na BMW ni vile vile..hazili mafuta asikudanganye yoyote..mwenye kusema zinakula mafuta anibishie kwa proof apa.
 
Chukua BMW..nna experience na C220 benz..petrol,ipo very reliable inakimbia but shape sio nzuri.so kama ni utapenda sytle in driving chukua BM..ila jiandae vitaa vya chek engine..otherwise naona kati ya hizo mbili kama zinafanana tu kwa kila kitu kasoro shape..
Nina C200 ya W203 na sijawahi kupata taa ya cheki engine, tangu nimenunua ni mwaka wa 4 sasa.....Engine Code yake ni 272.
 
Kiukweli kwa hapa Bongo, Mercedes Benz ni gari yenye heshima ya kipekee sana.

Nafikiri sababu kubwa ni kwamba gari hizi utazikuta kwenye mabalozi, diplomatic entities na matajiri tu. Ukiwa Masaki na O-bay ndio zimetapakaa zaidi.

BMW ni gari nzuri lakini kwa Mercedes Benz bado sana. Naongea kwa experience ya gari zote mbili. Hii ni kwa hiyo category ya Swagaz.

Ila kwa efficiency na price ya parts, zote ni almost sawa sawa tu.
 
BMW au Benz iwe petrol au iwe diesel hamna ata inayokula mafuta..natumia ya petrol c 220 inakula km 13 per litre..sema saiv imeanza zingua engine inaleta miss ila ata ulaji wa mafuta haijaongezeka wala...na BMW ni vile vile..hazili mafuta asikudanganye yoyote..mwenye kusema zinakula mafuta anibishie kwa proof apa.
Mkuu cheki plug.
 
Back
Top Bottom