Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,848
Mbona wameandika mkuu, soma tangazo wanasema unlimited ku-surf, sasa sijuwi kama kuna mtu anahitaji kitu kama hicho.
Unlimited downloading inawezekana kabisa, kipindi fulani airtel walikuwa nayo kwa sh 200 tu na ilikuwa 24hrs yaani mchana na hata usiku, baadaye Vodacom kupitia wajanja night offer kwa sh 200 pia ulikuwa una download utakavyo ila usiku tu ambayo kwa sasa wamebadili kwanza wamepandisha bei ni sh 500 na wamelimit to 1gb
Sasa unaweza kuperuzi usiku mzima ukijiunga na bundle zetu za Night Unlimited.
Ukiwa na Tsh 450, unapata kifurushi cha Night Surfer 1GB na kwa Tsh 900 unapata kifurushi cha Night Surfer 2GB ambapo ukiwa na kifurushi hichi pia unaweza piga Zantel kwenda Zantel bila kikomo.
Vifurushi vyote hivi vinadumu kuanzia saa tano usiku hadi 12 asubuhi.
Jiunge sasa kwa kupiga *149*07# kisha chagua namba 7. Au jiunge kupitia tovuti yetu www.zantel.com
mkuu, watu wanahitaji kudownload usiku mzima na si kuperuzi usiku mzimasasa unaweza kuperuzi usiku mzima ukijiunga na bundle zetu za night unlimited.
Ukiwa na tsh 450, unapata kifurushi cha night surfer 1gb na kwa tsh 900 unapata kifurushi cha night surfer 2gb ambapo ukiwa na kifurushi hichi pia unaweza piga zantel kwenda zantel bila kikomo.
vifurushi vyote hivi vinadumu kuanzia saa tano usiku hadi 12 asubuhi.
jiunge sasa kwa kupiga *149*07# kisha chagua namba 7. Au jiunge kupitia tovuti yetu www.zantel.com
mkuu, watu wanahitaji kudownload usiku mzima na si kuperuzi usiku mzima
Sasa unaweza kuperuzi usiku mzima ukijiunga na bundle zetu za Night Unlimited.
Ukiwa na Tsh 450, unapata kifurushi cha Night Surfer 1GB na kwa Tsh 900 unapata kifurushi cha Night Surfer 2GB ambapo ukiwa na kifurushi hichi pia unaweza piga Zantel kwenda Zantel bila kikomo.
Vifurushi vyote hivi vinadumu kuanzia saa tano usiku hadi 12 asubuhi.
Jiunge sasa kwa kupiga *149*07# kisha chagua namba 7. Au jiunge kupitia tovuti yetu www.zantel.com
kuuliza sio vibaya... hivi mwanza zantel iko fast au ni kobe kwangu tu mana naona nazikosa ofa tam ka hizi,,, kama kuna mdau wa mwanza anayetumia zantel naomba anijulishe tafadhali
Dar wapo slow iwe Mwanza faster thubutu
Dar wapo slow iwe Mwanza faster thubutu
Upo wapi, Mwanza Sehemu gani ? inategemea sehemu na sehemu ila Zantel pote Mwanza nilipoitumia ilikuwa na kasi ya kutosha, ingawa nilishaitumia Arusha na Shinyanga haikuwa na kasi (labda ni sehemu nilizokuwepo) anyway hakuna offer za muhimu tena zantel walipofuta unlimited siku tatu tena baada ya kuipandisha from elfu tano mpaka kumi mpaka 15 na sasa kufutwa kabisa nimewaona hawana maana tena).kuuliza sio vibaya... hivi mwanza zantel iko fast au ni kobe kwangu tu mana naona nazikosa ofa tam ka hizi,,, kama kuna mdau wa mwanza anayetumia zantel naomba anijulishe tafadhali
dar zantel wana speed kuliko mtandao wowote. kujua speed ya mtandao usitumie na kifurushi tumia vocha then nenda speedtest. minimum speed nilikua napata 4mbps.
Na kwa nn nisubirie hadi saa tano usiku!? Wakati Wajanja Night ni kuanzia saa nne!? Na kuanzia MEI Mosoi wanasogeza Muda kuanzia saa tatu usiku.
mkali sasa 4mbps ni ndogo, voda pamoja na wajanjanight yao kuipunguza lakini kila siku usiku nagonga mpaka 8.3mbps a.k.a x2.. ngoja nitafanya kucapture screen nikupe physical proof.