Nigerians wameanza kuingiza nyimbo zao Billboard Chart Wabongo tukaze Buti

Ondowa hiyo "we" au ondowa Tanzanians, grammatically ndiyo itakuwa sawa.

Nnahisi kama Diamond ataingia soon.
Leo nmekupenda mamangu wish I could hug you...ungekua unaturekebisha hivi ingekuwa poa sana...
 
Nigerians hawakuanza leo kuingia list za billboards, msome Babatunde Olatunji, huyu kaingia list ya billboards kwenye 1960s.

Licha ya huyo kuna akina Fela Kuti, Dr. Alban, Asa, Femi Kuti, Sikiru Adepoju na wengi wengine.
Watu na umri wao,kibibi wewe kipindi hicho ndo mbichi kabisa,hapa bongo mnapiga Charanga,safi sana wajukuu wako unatupatia vitu adimu.
 
Back
Top Bottom