Nigerians wameanza kuingiza nyimbo zao Billboard Chart Wabongo tukaze Buti

cosa nostra

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
1,773
1,804
Watanzania tukaze sana Diamond,Vanessa,Kiba,Navi Kenzo and all the artists wenye mzuka hii inawezekana endeleeni kukaza buti
Wizkid, Runtown make Billboard Twitter Top Tracks chart


Wizkid-Runtown-e1483805992991.png


RELATED NEWS

Starboy Music Worldwide superstar, Wizkid, and former Eric-Manny act, Runtown, have made Billboard’s Twitter Top Tracks chart.

The chart, which has 50 top songs from various acts across different genres, saw both Nigerian acts making their debut appearances.

Wizkid’s song “Daddy Yo”, which was released on the night of the Headies awards, made the number 31 spot ahead of Drake’s “One Dance”, featuring Wizkid and Kyla, while Runtown’s rave single, “Mad Over You”, was 38 on the list.

While this is Runtown’s first appearance on the Billboard charts, this makes it the second time Wizkid would be appearing on Billboard, the first being his feature on Drake’s hit single, “One Dance” which made Billboard’s Top 100.

However, this would be the first time Wizkid is making an appearance on a personal level.

Asides Wizkid and Runtown appearing on the charts, Tekno had earlier appeared on Billboard’s list as one of the 10 hip-hop, R&B artists to watch in 2017.
 
Nigerians hawakuanza leo kuingia list za billboards, msome Babatunde Olatunji, huyu kaingia list ya billboards kwenye 1960s.

Licha ya huyo kuna akina Fela Kuti, Dr. Alban, Asa, Femi Kuti, Sikiru Adepoju na wengi wengine.
 
Nigerians hawakuanza leo kuingia list za billboards, msome Babatunde Olatunji, huyu kaingia list ya billboards kwenye 1960s.

Licha ya huyo kuna akina Fela Kuti, Dr. Alban, Asa, Femi Kuti, Sikiru Adepoju na wengi wengine.
Asante kwa kumbukumbu mrejesho,kipindi hicho hatukuwepo now kizazi kipya hiki naona Tanzanians can also do Big coz Vijana wetu wako poa pia na wengine wanafanya vizuri sana kuliko Nigerians Eg Diamond is doing better than Run town
 
Asante kwa kumbukumbu mrejesho,kipindi hicho hatukuwepo now kizazi kipya hiki naona Tanzanians we can also do Big coz Vijana wetu wako poa pia na wengine wanafanya vizuri sana kuliko Nigerians Eg Diamond is doing better than Run town

Ondowa hiyo "we" au ondowa Tanzanians, grammatically ndiyo itakuwa sawa.

Nnahisi kama Diamond ataingia soon.
 
Nigerians hawakuanza leo kuingia list za billboards, msome Babatunde Olatunji, huyu kaingia list ya billboards kwenye 1960s.

Licha ya huyo kuna akina Fela Kuti, Dr. Alban, Asa, Femi Kuti, Sikiru Adepoju na wengi wengine.
Imebidi nimfuatilie habari zake huyo babatunde sio mchezo jf inafundisha.
 
Shule ulikaririshwa, mimi sikisannif Kiswahili, nnakiandika kama nnavyotamka, wewe unatamka o ndo a au o ndo wa?

Kuwa mkweli.
ok mimi sio mkali sana wa hizi mambo nimekuelewa lakini, nilikua nakutania tu, mimi huwa siaangalii grammar sana ninapotupia issue humu dani nikujua tunaelewana tu
 
Back
Top Bottom