Nigerians launched their VPN Client

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
Now Nigerians have their own VPN client like munjy1's service
I have tested it and it works
Its high time for we Tanzanians to make move as far as Technology is concerned more especially in Regard to this matter Kwa nn wao waweze sie tusiweze kwani wao wana nn
We promise to give support for such people
 

Attachments

  • Vpn Plus.PNG
    12.4 KB · Views: 359
Last edited by a moderator:
Vp Mkuu na kwa hapa Home inafanyakazi?
 
VPN ndo nini jamani sisi wengine ni washamba yaweza ikawa msaada kwangu pia.
 
VPN client hii ya Wanaija ina nini kipya?

Halafu kwa nini ichukue "Nigerians" ku launch VPN client wakati ni kitu ambacho mtu mmoja anaweza kukifanya?

Halafu katika dunia hii ya cloud computing and web browser based networking mambo ya VPN client mbona yanakuwa obsolete wao ndo wanaanza kuyakumbatia leo?
 
kaka kwa kweli huyu kijana njunwa wamavoko amenifanya nifikirie sana...nadhani haelewi anachokiongelea..Ngoja atarudi kutuelezea vizuri..!!!! maana VPN client hata nyumbani kwangu ninayo kwa ajili ya kutumia nikiwa nje ya mahala pa kazi..
 
Last edited by a moderator:
I meant Kennedy ,Dont you see kwamba ni one Step Forwards
 
Last edited by a moderator:
kaka kwa kweli huyu kijana njunwa wamavoko amenifanya nifikirie sana...nadhani haelewi anachokiongelea..Ngoja atarudi kutuelezea vizuri..!!!! maana VPN client hata nyumbani kwangu ninayo kwa ajili ya kutumia nikiwa nje ya mahala pa kazi..

mkuu kwa vijana kama sisi vpn inamaanisha hv
1. wizi wa internet kwa kutumia udp open ports mitandao wanaosahau kufunga
2. kuangalia na kutumia vitu ambavyo vimefungwa haturuhusiwi kutumia. mfano network za chuo na makazini wanablock vitu kama facebook na youtube kupitia vpn utatumia
3. kutoa country restriction. mfano kuna kitu anatakiwa aone mmarekani tu kupitia vpn zenye server za marekani unaweza kuona hata ukiwa tanzania.

anachojaribu kuelezea njunwa ni kua wanigeria nao wana yao kama pd-proxy ya munjy. even though sijaicheki ila wanigeria scam ni nyingi na utekelezaji mdogo
 
Last edited by a moderator:
kaka kwa kweli huyu kijana njunwa wamavoko amenifanya nifikirie sana...nadhani haelewi anachokiongelea..Ngoja atarudi kutuelezea vizuri..!!!! maana VPN client hata nyumbani kwangu ninayo kwa ajili ya kutumia nikiwa nje ya mahala pa kazi..

Point yangu umei Code mwenyewe
na Je ina servers ngapi?
Na je inafanya kazi kama ya huyo jamaa niliye mtaja
Pointi si kuwa nayo nyumbani Point ni kuwa Used and get paid by pple from different countries and
In the name of Our country Tanzania
 
Mkuu Kennedy nimesema have Tested it and it works look @ the image
 
Last edited by a moderator:
Well said,,,nimekuelewa vizuri sana .... njunwa wamavoko unabahati sana maana leo ungenikoma,,jifunze kufafanua vizuri wengine tumeanza kuzeeka
 
Last edited by a moderator:
Point yangu umei Code mwenyewe na Je ina servers ngapi?
Na je inafanya kazi kama ya huyo jamaa niliye mtaja

sasa ndugu yangu hukuniuliza kama nime code mwenyewe....of coz iam a Developer na Networking naweza japo mara nyingi hupenda kupiga chabo coz si deal nayo sana... ila kwa vitu vidogo kama VPN kutokana na wingi wa kazi nyingi ambazo ni muhimu...hiyo kazi huwa anafanya ISP

vile vile VPN nayozungumzia mimi na ya kwako ni vitu viwili tofauti si ndio bwana njunwa?
 
Nashukuru kwa ufafanuzi, sasa sisi wabongo tunapataje hii ili tuendelee kuenjoy. Njunwa wa mavoko umetupatia ile pd proxy je inauhusiano
 
Jibu lake limetolewa lakini, inatumikaje au inafanyakaz gani bado ni kitendawili wengi inakuwa vigumu kufaham
 
Nashukuru kwa ufafanuzi, sasa sisi wabongo tunapataje hii ili tuendelee kuenjoy. Njunwa wa mavoko umetupatia ile kitu je inauhusiano?

kazi ni hiyo hiyo Mkuu so we endelea na hiyo niliyokupa
afu sio unataja taja jina tu ukuona mm kwenye uzi wangu wa biashara nimeificha jina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…