Nigerian presidential debate!

malkiory

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
270
24
Kama ilivyokuwa kwa rais wa Tanzania Jakaya Kikwete rais wa Nigeria Goodluck Jonadhan naye aingia mitini kwenye debate ya wagombea urais wa nchi hiyo. Inasemekana alitaka apewe maswali yatakayoulizwa in advance lakini waandaaji waligoma kufanya hivyo. Tunajifunza nini kutokana na watawala wetu hawa!

Tembelea hapa kutizama video ya debate ya wagombea urais wa Nigeria: MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI!
 
kwetu tz hakuna kitu km hicho!
Itakuwa jambo la maana presidential debate ikawekwa kwenye Katiba mpya pia. Ili wanaoomba kuwa Rais wasiweze kukwepa unapofika wakati wa debate.

Hii inaweza kusaidia waomba urais kama watachaguliwa kwa kipindi cha kwanza waweze kuwa accountable kwa ahadi walizotoa au "kuvuliwa nguo hadharani" siku hiyo ya debate.

Simply, wagombea wataogopa kutoa ahadi hewa. Wasipotekeleza wanajua kuwa wataumbuliwa kadamnasi.

Ahadi za kubadilisha mji wa kigoma kuwa Califonia kwa miaka mitano hazitakuwepo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom