Nigerian girl dies in Bangkok while having butt implant

Nigerian girl dies in Bangkok while having butt implant

Plastic surgery tourism!! hawa madaktari wetu wa miti shamba mbona hawaitumii hii fursa kimataifaaa. (kidding)
 
Nadhani hao waliokuwa wanamnyanyapaa ndo walioanza kumkosoa Mungu

Ni sawa lakini aliyeshindwa kujiamini na.jinsi Mungu kamfanya ndiyo shida zaidi... anayewafanyia alipata idea kitokna na watu Kutokujiamini
 
Mie nataka ya boobs.......

sio mbaya, msubiri huyu doctor akitoka lupango ataku-pimp izo nyonyo zako.
1414145050461_wps_23_Doctor_Sompob_Sansiri_cen.jpg
 
Wanawake mnapata shida ya bure Tu mnakompliketi wanaume tunapenda hovyo hata ujipendezeshe vipi hatuachi kutamani wanawake wengine.ushauri WA bure baki jinsi ulivyo.
 
Mmmmhhhhhhh mbona majanga,jaman wapendwa tulidhike jinsi tulivyo mwenzi mungu ametaka uwe kama ulivyo jaman,,,,,,,,polen xana familiya ya joy pumzika salam,,,Amen
 
Zinduna
Nadhani ni ajali kama ajali nyingine.. ila siku hizi wanawake feki wengi sana!! hasa kwenye sekta ya rangi na sura n.k.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom