Nigeria yauza ndege 2 za rais

Nigeria yauza ndege 2 za rais

Magufuli effect ipi? Huyu wa Nigeria kaingia madarakani akapunguza mshahara wake kwa 50%, magufuli kuutaja mshahara wake tu anagwaya pamoja na kuahidi kuweka hadharani salary slip yake na mshahara wake wa milioni 400 hata sent moja ya kodi hakatwi. Mafisadi na majizi akina Lugumi, Escrow, IPTL, MV Ufisadi etc anawagwaya hata kuwataja hadharani kabaki kwebda kuwaonea wafanyakazi wadogo.

Magufuli effect
 
Mkuu hiyo lugumi ni mwamba haugusiki
1475723125756.jpg
 
Bila shaka wengi walishikishwa mshiko mnene ndiyo maana wanamuogopa maana anaweza kuwaanika hadharani wote waliochukua mshiko. Ukishafisadi Serikalini kula na walio jikoni ili wakulinde kwa hali na mali. Si unamuona Ruge Mkuu naye anapeta mtaani kwa raha zake hakuna wa kumgusa maana alitembeza mshiko mnene mpaka ndani ya Ikulu.

Mkuu hiyo lugumi ni mwamba haugusikiView attachment 412935
 
Bila shaka wengi walishikishwa mshiko mnene ndiyo maana wanamuogopa maana anaweza kuwaanika hadharani wote waliochukua mshiko. Ukishafisadi Serikalini kula na walio jikoni ili wakulinde kwa hali na mali. Si unamuona Ruge Mkuu naye anapeta mtaani kwa raha zake hakuna wa kumgusa maana alitembeza mshiko mnene mpaka ndani ya Ikulu.
Mkuu hao ndio wanao ishi sisi wengine ni bora kupambazuke tu
 
Magufuli effect ipi? Huyu wa Nigeria kaingia madarakani akapunguza mshahara wake kwa 50%, magufuli kuutaja mshahara wake tu anagwaya pamoja na kuahidi kuweka hadharani salary slip yake na mshahara wake wa milioni 400 hata sent moja ya kodi hakatwi. Mafisadi na majizi akina Lugumi, Escrow, IPTL, MV Ufisadi etc anawagwaya hata kuwataja hadharani kabaki kwebda kuwaonea wafanyakazi wadogo.
Mimi ni mshamba mkuu hii figure ni annual salary or monthly?
 
Waliupeg mshahara wa mtakatifu kwa US Dollar ni $192,000 per annum hivyo pesa yetu ikianguka na mshahara unazidi kupaa. Tafuta conversion rate ya leo utaona equivalent yake na pesa yetu ya kibongo.

Mimi ni mshamba mkuu hii figure ni annual salary or monthly?
 
Labda wakati wa kuhamia idodomya
Labda...lakini kwa poverty mentality aliyonayo, I doubt it...kwani he is having a once in his lifetime experience kuendeshwa ndani ya 730Li na 745Li.
 
MAGUFULI EFFECT KIVP.....WEE,HIVI ILR NDEGE ILIYONUNULIWA TUKAMBIWA HATA NYASI TUTAKULA MLIIUZAA SKREPA AU?

OVA
Umenikumbusha pesa mbili mramba kwenye ubora wake
 
Back
Top Bottom