Nigeria: Wanafunzi Wamuua Mwanafunzi Mkristo na Kumchoma Moto Wakitekeleza Sharia ya Uislamu

Annunaki

JF-Expert Member
Dec 30, 2021
1,911
3,171
Kwa mara nyingine nchini Nigeria mwanafunzi wa chuo mkristo ameuawa na Wanafunzi Waislam.

Waislam mna shida sana mnatakiwa kujitafakari, pamoja na kashfa nzito na udharilishaji mnaotufanyia wakristo juu ya Yesu Kristo huku mukienda mbali na kutuita makafiri, bado sijawahi kusikia mauaji ya muislamu kutokana na kadhia hiyo. Inakuwaje uvumilivu wa dini unawashinda eti kisa mnatekeleza sharia za Uislam.

Dini yenu ina shida kwenye mafundisho mnatakiwa kurekebisha huko mbele tunakoelekea siyo kuzuri kabisa.

___________________________________________

Nigeria: Wanafunzi Waislamu wamuua kwa mawe mwanafunzi Mkristo wakimtuhumu kumkashifu Mtume Muhammad

Wanafunzi Waislamu katika mji wa jimbo la kaskazini magharibi mwa Nigeria la Sokoto Alhamisi wamempiga mawe mwanafunzi Mkristo hadi kufa na kuchoma maiti yake baada ya kumshtumu mwanafunzi huyo wa kike kwamba alimkashifu Mtume Muhammad, polisi wamesema.

Darzeni ya wanafunzi wa chuo cha elimu cha Shehu Shagari walifanya vurugu baada ya mwanafunzi mwenzao Deborah Samuel kutoa taarifa kwenye mitandao ya kijamii ambayo waliiona kuwa inamvunjia heshima Mtume Muhammad, msemaji wa polisi huko Sokoto Sanusi Abubakar amesema katika taarifa.

Wanafunzi walimuondoa kwa nguvu muathirika kwenye chumba cha usalama ambako alikuwa amefichwa na viongozi wa shule, wakamua na kuchoma jengo hilo, Abubakar amesema.

Abubakar amesema washukiwa wawili walikamatwa kufuatia tukio hilo.

Sokoto ni miongoni mwa darzeni ya majimbo ya kaskazini mwa Nigeria ambako sheria kali ya Kiislamu au Sharia inatekelezwa.

Chanzo VOA
Screenshot_20220513-203957_1.jpg
 
Pro-Putin naona wameingia mitini wote hawawezi kuonekana kwenye uzi kama huu.

Hata hivyo walishindwa nini kumkamata huyo binti ili afikishwe kwenye vyombo vya sheria? Sheria kwamba vitabu vya kidini haviwezi kufanyiwa marekebisho ndio inasababisha uovu kama huu uwepo.

It's very saddening and distressing to kill somebody just for uttering remarks viewed to be religiously apostate.
 
Uwaone wapi maana wote pro Russia ni Waislam. Hii dini imekaa kishari sana, hawatakiwi kupewa nafasi watatuharibia dunia. Yaana haya majamaa makatili sijawahi kuona.
 
Kama ukristo na ushoga ulivyo pacha

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Unajivunia kumwaga damu za watu siyo.? Ni Mungu wa ajabu sana anayeruhusu watu wake wawe wauwaji kwa watu wengine, na huyo siyo Mungu, ni shetwani

Na kama ndivyo, huyo mungu mjinga wa aina hiyo, kakuumbeni kuwa mfano wa binadamu, maana binadamu aliyeumbwa na Mungu, hawezi kuwa na ujinga kama huo
 
Cha msingi hapa kila mtu aipe heshima iman ya mwenzie haya wala ayatakuepo,maana hata mtume Muhammad alipo amua kuhama kwenda madina aliwakuta wakristo na wasio na dini na aliish nao vyema tu ,kwa kila mmoja kuish kwa kumuheshim mwengine ,haya mambo yakuona imani yako ni bora kuliko nyengine ndio tatizo.
Hamna dini inayo furahia kuuwa ,ila yapo makosa katika dini ya kiislam ukiyatenda adhabu yake ni kifo ,yatakapo thibitika.
Tuache mambo yakukashifiane , kuna nyumba Moja niliwai kuish ile nyumba ilikua ya walokole basi wakianza maombi ,unawasikia kabsa sheten toka ,shetani wa kiislam rudi huko huko, sasa kama haya ni maombi gan ya namna hiyo!?

Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
 
Wakristo acheni kuleta hadithi nyingi Uislam ndio dini ya Haki mnajaribu Kila njia kutafuta au kujipachikia maneno ya uwongo. Ikiwa ukristo ni dini nabii gani alikuja nayo?

Afu Toka lini Uislam unakubaliana na kuwa mtu bila haki, nileteni Aya ya Quran inayo SEMA hivyo kama IPO.

Siku zote wavuta bangi wakiuwa wanasema waislam ndio wameuwa, Tatizo liko wapi Kuna dini ya shetani ndio inaishambulia dini ya Haki ya Mwenyezi Mungu.
 
Kwani unajua alichokisema huyo Mwanafunzi hadi akauwawa?

Inaonekana kaonewa tu hakumkashifu Mtume wala Uislamu na wala Qurani.

Hebu fuatilia alichosema utajua ameuawa kwa kosa lake au La
 
Cha msingi hapa kila mtu aipe heshima iman ya mwenzie haya wala ayatakuepo,maana hata mtume Muhammad alipo amua kuhama kwenda madina aliwakuta wakristo na wasio na dini na aliish nao vyema tu ,kwa kila mmoja kuish kwa kumuheshim mwengine ,haya mambo yakuona imani yako ni bora kuliko nyengine ndio tatizo.
Hamna dini inayo furahia kuuwa ,ila yapo makosa katika dini ya kiislam ukiyatenda adhabu yake ni kifo ,yatakapo thibitika.
Tuache mambo yakukashifiane , kuna nyumba Moja niliwai kuish ile nyumba ilikua ya walokole basi wakianza maombi ,unawasikia kabsa sheten toka ,shetani wa kiislam rudi huko huko, sasa kama haya ni maombi gan ya namna hiyo!?

Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
Ni wapi huyo binti kamtusi mtume wenu? Tatizo muda mwingi wengi wenu wako too emotional. Huyo kijana aliyesema hayo imegundulika alimtaka binti akatoswa. Akatumia ujinga wa hizo emotions zisizo na akili kumfanyia ukatili kama kisasi.

Allah anafurahishwa kiasi gani na hilo? Au kwa sababu ni kafir bint kafir hana haki?

Acha kuandika ujinga basi! Kujaribu ku justify upumbavu kama huu unakuweka kundi moja na hao wauaji.
 
Wakristo acheni kuleta hadithi nyingi Uislam ndio dini ya Haki mnajaribu Kila njia kutafuta au kujipachikia maneno ya uwongo. Ikiwa ukristo ni dini nabii gani alikuja nayo?
We naye! Kama Ukristo ni feki mbona mtume wako aliutambua? Una akili kuliko mtume wako?

"And let the People of the Gospel judge by what Allah has revealed therein. And whoever does not judge by what Allah has revealed – then it is those who are the defiantly disobedient"
Surah 5:47

Kwa hiyo kwa akili zako nyingi hapa walikuwa wanaongelewa akina nani?

Hayo maswali mengine kamuilize Imam wako, maana inaonekana hajafanya kazi nzuri ya kukufundisha hata dini yako mwenyewe!
Afu Toka lini Uislam unakubaliana na kuwa mtu bila haki, nileteni Aya ya Quran inayo SEMA hivyo kama IPO.
Kwani unaelewa hata maana ya haki basi?
Huyo jamaa kataka ngono kapigwa chini kaamua kumsingizia binti wakamwua. Ndio haki hiyo unayoizungumzia?

Unamjua aliyesema maneno haya ya "haq"?

I have been ordered to kill the people until they testify that there is no god except Allah, and that Muhammad is the Messenger of Allah, and they establish prayer and pay the zakah. If they do that, their blood and wealth are protected from me save by the rights of Islam. Their reckoning will be with Allah

Siku zote wavuta bangi wakiuwa wanasema waislam ndio wameuwa, Tatizo liko wapi Kuna dini ya shetani ndio inaishambulia dini ya Haki ya Mwenyezi Mungu.
Kama huoni tatizo la mtu kukataliwa ngono kisha akafanya mauaji akimtumia mtume wake kama pretext basi bangi uliyovuta si ya dunia hii.

Kwa hiyo unaona sawa kabisa mtume wako kutumika kutimiza matakwa ya aibu? Au kwa sababu victim ni kafir?
 
Sidhani kama umetumia akili yako ikuletee majibu,

Nilichoandika hapo kwa kiulizo, ni kwa sababu sjawahi kusikia gaidi la Kikrsito isipokuwa kuna magaidi wa Kiislamu, ni tofauti kabisa na Kiulizo chako kwa sababu ushoga upo kwa wakristo na waislamu!

Tena usiniambie kabisa, kwenu huwa mnakamsemo hivi ka kuhalarisha haramu, eti mnaita suna!
swali lako ulilouliza nilakijinga kwanza nikama umegeneralize waislam wote ni magaidi alafu unaposema ujawahi kuona wakristo magaidi nikama unajitoa ufahamu nakuvaa unafiki...thats y namimi nilikuuliza kwamakusudi kabisa swali la kijinga....
 
Hiyo ndio ilimu mnayokaririshwa kwenye tarawei na kichwani kwako huna maneno zaidi ya hayo unayofanyiwa na maalim wako ndio maana unajitangaza hadharani,
jamaa kauliza swali lakihuni ambalo majibu yake anayajua kabisa ila anataka kuleta dhihaka tu ndio maana namimi nilimjibu kihuni
 
Tunajifanya wafia dini kuliko hata waliotuletea hizo dini, ULIMBUKENI.
Kabla ya wazungu na waarabu Kuja Africa kueneza dini zao, Wafrika tulikuwa dini gani?
Tuache Ushamba na ULIMBUKENI eti kwamba tunaijua dini kuliko hata waliotuletea.
Tusichukiane. Killing or hating each other coz of religion is the highest degree of IGNORANCE. Period.

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom