Nigeria wagoma kufanya mazoezi

Nigeria wagoma kufanya mazoezi

UGORO87

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
824
Reaction score
383
Timu ya Nigeria imegoma kufanya mazoezi kukabiliana na ufaransa ktk round ya pili kisa wanadai hawajalipwa posho.RFA NEW
 
Africa ndo shida yetu inapokuja hapo, hapo hela watu washakula
 
naona shirikisho lao la nigeria lipo km tff ya akina ndolanga na rage kutafuna hela bilakujali mustakabali wa timu
 
Umaskini ni shida kubwa!! Fifa ilishatoa pesa kitambo alafu viongozi wao wa soka wanawabania wachezaji, hii tabia chafu ya viongozi wa soka barani africa itasha lini? Hivi fifa hawana the hegue ya kwao kwa wauaji wa soka??##shame##
 
They ressumes Training now and everythings is going well Media officer Ben Alaiya told reporters that ''Its settled now. Its absolutely settled now. Lets not dwell on the past. There is no problem now THATS WHY EVERYONE IS TRAINING''

The African Champions flew to capital Brasilia on Friday ahead of the knockout game against the French on Monday. Source GOAL.COM.
 
hivi kila kitu mpaka watu wagome jamani kweli. afrika mnatutia aibu
 
imekuwa ni kama utaratibu wa timu za kiafrica kitu ambacho wakati mwingine kina athari kubwa kwenye haya mashindano,na sidhani watapata matokeo mazuri kwenye hiyo game yao
 
hivi kila kitu mpaka watu wagome jamani kweli. afrika mnatutia aibu

sijajua uko upande upi! unamaanisha kwamba kwanini viongozi hawatoi hela hadi watu wagome au unawalaumu wanaogoma kwa kusema sio kila kitu ni cha kugoma?
 
Kuna mdau aliweka hoja mezani humu JF. Kwamba ifike mahali African Nations tusishiriki kombe la Dunia. Nakubaliana naye kwa mambo mengi sana. Hili la leo la Nigeria na malipo yao kuwa miongoni mwa mengi! Aibu kubwa. Hata mchukie lakini waafrika hakuna tunachoweza... We're not serious in anything but sex and drunkardness. Shame YOU!
 
kamerun waligoma haikua na sababu maana hakuna walichokua wamefanya lakini kwa naijeria ni haki kabisa na pia wanastahili motisha na wajengwe kisaikolojia maana hatua waliyo ni ngumu sana si ajabu ukaona wenyeji wanabaki watazamaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom