K Kubingwa JF-Expert Member Apr 23, 2010 505 69 Nov 3, 2011 #1 Wanajamii, huko naijeria wamegundua kitoto kichanga kimo kwenye orodha ya wanaolipwa mshahara na serikali,yaani payroll.Sijui hapa kwetu limekaaje hili.
Wanajamii, huko naijeria wamegundua kitoto kichanga kimo kwenye orodha ya wanaolipwa mshahara na serikali,yaani payroll.Sijui hapa kwetu limekaaje hili.
K Kubingwa JF-Expert Member Apr 23, 2010 505 69 Nov 3, 2011 Thread starter #3 Nani?Serikali ni watu na watu ndio............................................................................................!
Nani?Serikali ni watu na watu ndio............................................................................................!
Washawasha JF-Expert Member Aug 7, 2006 16,652 13,077 Nov 3, 2011 #4 dah! Muumba ana njia nyingi sana za kuwaumbua wanaotumia madaraka kujipatia kipato cha kifisadi. Nalog off
dah! Muumba ana njia nyingi sana za kuwaumbua wanaotumia madaraka kujipatia kipato cha kifisadi. Nalog off