Nigeria na mishahara utumishi wa umma.

Kubingwa

JF-Expert Member
Apr 23, 2010
505
69
Wanajamii, huko naijeria wamegundua kitoto kichanga kimo kwenye orodha ya wanaolipwa mshahara na serikali,yaani payroll.Sijui hapa kwetu limekaaje hili.
 
Nani?Serikali ni watu na watu ndio............................................................................................!
 
dah! Muumba ana njia nyingi sana za kuwaumbua wanaotumia madaraka kujipatia kipato cha kifisadi. Nalog off
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom