Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,360
- 38,876
Hili lipo kiimani zaidi kama una imani haba huwezi kufanyaa.Siwezi kufanya ujinga huo!
Hili lipo kiimani zaidi kama una imani haba huwezi kufanyaa.Siwezi kufanya ujinga huo!
kama RC wa Dar.Umar ni mzalendo,
Ndo unavyo waza wewe? Mwenzako anawaza mbali na pia kafundishwa uzalendo. Pesa sio kila kitu katika Maisha mkuu sema ndo tumeaminishwa hivyo.Honestly alifanya jambo jema sana kulingana na kazi yake ila kwa mtazamo wangu, angejinyamazia tu halafu baada ya muda fulani angejifungulia biashara mdogo mdogo ili asishitukiwe.
God bless him
Honestly alifanya jambo jema sana kulingana na kazi yake ila kwa mtazamo wangu, angejinyamazia tu halafu baada ya muda fulani angejifungulia biashara mdogo mdogo ili asishitukiwe.
God bless him
Million 90 za Kitanzania kwa Nigeria ni pesa ndogo sana ni around Tanzania shiling Million 14 hivi. Ni pesa ndogo mno au hajui Pesa ya Nigeria ina thamani zaidi ya TshAngeagana na umasikini kabisa maisha ni mwake
Sio wote wako kama wewe mkuu.Kuna mawili:-
- hataki ela anataka ukubwa
- Aliogopa kamera zingemuumbua
Kuna mawili:-
- hataki ela anataka ukubwa
- Aliogopa kamera zingemuumbua
Kama hupendi pesa vaa malailoni utembee njiani,nguo ulizovaa ni pesa,elimu uliyosoma ni pesa,unapoenda kutibiwa ni pesa...mambo mengine tuwe wakweli tu;unasoma ili upate elimu kubwa uajiriwe ulipwe pesa,kwa nini pesa,tunatafuta vyeo ili tupate pesaSio wote wako kama wewe mkuu.
Tuanze na wewe mkuu,uza vitu vyako vyote uwagawie masikini ili uingie peponi (kiimani)Yote hayo mm nakataa, ni imani tu mkuu, ata ww ukiwa na Iman basi unaweza kufanya Jambo muhim mpaka jamii au ulimwengu ukakushangaa
Tunaotembea macho chini huwa hatukutani nazo ng'oo...