Nigeria inasifiwa kuwa na Jeshi bora Afrika kuliko hata Tanzania mbona boko haramu wanashindwa kuwatokomeza? Hivyo vipimo vya ubora sivielewi

Hivi unajua kupigana na mtu ambaye yeye haogopi kifo na anaamini akifa vitan anakufa shahidi ni ngum sana? Yaan ww unapigana lkn unaogopa kufa lkn yeye hajali kama akifa Ana amin anaenda peponi na akikuua pia ana amin anaenda pepon, kiufupi hana cha kupoteza .mtu wa hivi sio wa kupigana nae
 
Wewe lazima ni mdini
 
Nigeria inasifiwa kuwa na Jeshi bora Afrika kuliko hata Tanzania mbona boko haramu wanashindwa kuwatokomeza? Hivyo vipimo vya ubora sivielewi

Wanatumia vigexo gani hadi Nigeria ionekane ina Jeshi bora kukiko Tanzania?
Wale hawajapaki wapo kwenye practice kila siku. Na Boko....sio wajinga kuna intelligent soldiers
 
La kwanza, ubora wa jeshi unapimwa kwa ubira wa silaha mulizonazo pamoja na elimu na sio kuvunja matofali kwenye sherehe za uhuru.

Alafu mkuu unawachukuliaje Boko Haram?
 
Nigeria inasifiwa kuwa na Jeshi bora Afrika kuliko hata Tanzania mbona boko haramu wanashindwa kuwatokomeza? Hivyo vipimo vya ubora sivielewi

Wanatumia vigexo gani hadi Nigeria ionekane ina Jeshi bora kukiko Tanzania?
Ugaidi ni ishu ya kufeli kiintelligencia
Jeshi haliwezi hapo kwasababu unapigana na adui usiye muona,anajichanganya kwene raia
 
Unatokomeza magaidi wanaovaa hijab na hawana uniform!! Hawana kambi!! Labda utumie uchawi siyo jeshi, Boko haramu siyo wanajeshi huwezi kuwamaliza kwa kutumia jeshi.
 
Back
Top Bottom