Niga full Heshima Kwa Mzungu!

Jamani tuhamishe kijiwe, naona bia za baridi zimeisha.
 
Mweshimiwa Nyarandu hajatulia, angalia kwa makini tofauti iliyopo akiwa anawatazama wanaume na wanawake? Utaweza kumsoma usoni anachofikiria.

loh! unauzoefu wa kusoma facial expressions
 
Mi nimeona tofauti anapoongea na wengine mikono mfukoni, lakini kwa mzungu mikono kaifunga kama anaomba vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…