Nifundisheni kuiondoa Google kwenye Kwenye Message App

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
19,745
10,078
Habari zenu Guruz wa jukwaa la Tech.

Mwenzenu simu ya wife ameset imekuwa linked na Google kwenye message na sasa haitaki tena.

Sasa kaniachia msala wa.kuiondoa ili ibaki kawaida
Screenshot_20240128-082445.jpg


Sqsa hio G hio naiondoaje ibaki App ya kawaida?

Kama hivi? (hii ni simu yangu)
Screenshot_20240128-084330.jpg
 
habari zenu Guruz wa jukwaa la Tech.

mwenzenu simu ya wife ameset imekuwa linked na Google kwenye message na sasa haitaki tena.

sasa kaniachia msala wa.kuiondoa ili ibaki kawaidaView attachment 2885393

sasa hio G hio naiondoaje ibaki App ya kawaida?

kama hivi? (hii ni simu yangu)
View attachment 2885397
Unaweza jaribu kwenda kwenye settings, app management halafu app ya google (Clear all defaults)
 
hii tabia ya Google inakera sana aisee
Android za zamani hazikuwa na huu upuuzi
India walicharuka wakatishia kuban OS yao sijui kesi iliishia wapi
Mwenyewe nimeamka nikakuta meseji ipo vile ,nauliza wadau nao kila mtu app ya meseji imebadilika..
 
Mm naona ikiwa hvy ndio vzr mana inakuruhusu kutuma sms kwa kutumia MB tofauti na app ya zamani
 
Simu Yako ilikua na app nyengine ya sms kabla?

Kama ndio nenda settings Kisha app Kisha default apps kwenye sms badili weka app unayotaka.

Kama hapana Kuna app kibao za sms playstore nextsms, Textra, na nyenginezo download Kisha fuata njia ya juu kuzifanya ziwe default.
 
Google Message (Google)
IMessage (apple)

Wanataka watumiaji wengi waachane na messaging app maarufu, ndio mpango mkakati wao, wanataka native msg app iwe na features nyingi kama whatsapp na kina telegram.
 
Google Message (Google)
IMessage (apple)

Wanataka watumiaji wengi waachane na messaging app maarufu, ndio mpango mkakati wao, wanataka native msg app iwe na features nyingi kama whatsapp na kina telegram.
Hio Technology (RCS) sio ya Google, ni successor wa Sms, nature yake ya ufanyaji kazi ni kama sms kwamba hakuna server maalum na mitandao ya simu ndio ina facilitate, inaweza itumie ama isitumie internet. RCS imezinduliwa mwaka 2008 ila hao mabwana wakubwa wote wakaichunia tu sababu wanajua ingewapunguzia ulaji wao.

Kwanini Google anaipigia chapuo sana Sasa hivi? Sababu ni kwamba ameibadili RCS, badala ya kuwa decentralized system ameifanya kuwa centralized na server zote ni za Google, Hapa Google amepata Upenyo wa kumonopolized Sms za watu ndio maana unaona anahangaika sana watu wai adopt. Hii ni comeback ya Google baada ya kuona platform zake zote za IM hazifui dafu.

Kuna watu wachache wanapiga Kelele ila so far vyombo vya usalama vimekaa tu Kimya, Apple na watu wanaojielewa washashtukia mchezo ndio maana wanapingana na hii idea. Na Apple amesema ata integrate RCS kwenye iMessage pia ila kwa Rules zake na sio Server za Google.
 
Hapo mkuu labda nikuelekeza through Step by Step maana nimesahau kidogo setting za Google pixel mpaka nione ndo nitakumbuka..
 
Back
Top Bottom