habari wanammu wenzangu,natumaini wote mpo salama,ndugu wana jukwaa wenzangu,naomba mnifungue macho ktk hili,kuna mwanamke mrembo nilimpenda na sikusita kumweleza ukweli lakn alinikatalia na kunieleza kwmba ana mtu,kwa takribani mwezi wa tatu sasa nimekua nikiwa nae karibu sana,tumeshawah kukiss (wet kiss) zaidi ya mara tatu,na hzo dry ndo hazihesabk,ila anadai ananipenda km rafk wa kawaida tu,juzi ametoka kuniambia kwmba ananipenda ila hayupo tayar kuwa katika mahusiano na mimi,leo tunapiga story za hapa na pale tukiwa wawili akaniomba aniulize swali,akauliza "kama nikikupa chance though i have someone,will you be ready?",kiukweli nilimuangalia tu na sikumjibu chochote,tafadhali naomba mnisaidie ni kitu gani kinaendelea hapa mimi nipo njia panda,na sielewi lengo lake kabisa,tafadhali naomba ushauri.