nifumbueni tafadhali.

tan 90

Senior Member
Jul 29, 2012
182
36
habari wanammu wenzangu,natumaini wote mpo salama,ndugu wana jukwaa wenzangu,naomba mnifungue macho ktk hili,kuna mwanamke mrembo nilimpenda na sikusita kumweleza ukweli lakn alinikatalia na kunieleza kwmba ana mtu,kwa takribani mwezi wa tatu sasa nimekua nikiwa nae karibu sana,tumeshawah kukiss (wet kiss) zaidi ya mara tatu,na hzo dry ndo hazihesabk,ila anadai ananipenda km rafk wa kawaida tu,juzi ametoka kuniambia kwmba ananipenda ila hayupo tayar kuwa katika mahusiano na mimi,leo tunapiga story za hapa na pale tukiwa wawili akaniomba aniulize swali,akauliza "kama nikikupa chance though i have someone,will you be ready?",kiukweli nilimuangalia tu na sikumjibu chochote,tafadhali naomba mnisaidie ni kitu gani kinaendelea hapa mimi nipo njia panda,na sielewi lengo lake kabisa,tafadhali naomba ushauri.
 
Kama ww ulikuwa unataka love affair ndo wakati wake huo au unataka uambiwe kitu gani hapo kaka
 
Mda mwingine watu hupenda kua second choice!!so if you able to handle that Go ahead!! but what if wewe ni huyo Boyfriend wake!!
 
hapana,sipendi kuwa second choice kabisa,pia nafahamu kwamba ana boyfriend ila hayupo karibu,nilishawah kushka simu yake nikakuta text za huyo bwana wake.
 
Watoto wa kishua na nyie bwanaaaaaaaaaa! Ndo maana tunawachuna hadi mifupa! Mmekaa kifogo fogo!

Yaani usipojiangali you wont get any hadi ugonge 28! TIMES HAVE CHANGED! Siku hizi you take what you want! I bet hapo unangoja hadi Manzi akwmbie im ready for you today! Tafuta room nikakupe! Msheeeeeeeeeew!!!!!!!!!! Utangoja sanaaaaa!

Embu someka kidigitali! Tengeneza mazingira, anza huo mchezo wenu wa baba na mama, ikianza wet kiss komaaa upewe mambo hayo! Even if it will involve you to beg! Jst beg, persuade, trick whatever gets you laid man! You are pathetic!

Ukishampiga dushelele heshima itarudi na atakuwa hakuadisii ishu za bwana wake tena! Stop being a doll and taken advantage of! Kama joka la kibisaaaa! You are a disgrace to Digital Mnakind!

Jipange ule vituz hivo, maisha ni leo kesho majaaliwa!

Im a bad influence to society and i know! You dont have to reap tellin me! Thank you all!
 
inawezekana yule man alimpenda kwa ajili ya kitu fulani, dats why anamuonea huruma kumwacha, ukimcare vizuri utamiliki jumla bt usimshauri amwache jamaa yake
 
Ni kwamba dem amekukubali sema unamapungufu flan ambayo mwenzio atayacover ndo maana anataka muwe wawili. Nina wasi haupo vizuri financialy afu mwenzio yupo njema
 
Watoto wa kishua na nyie bwanaaaaaaaaaa! Ndo maana tunawachuna hadi mifupa! Mmekaa kifogo fogo!

Yaani usipojiangali you wont get any hadi ugonge 28! TIMES HAVE CHANGED! Siku hizi you take what you want! I bet hapo unangoja hadi Manzi akwmbie im ready for you today! Tafuta room nikakupe! Msheeeeeeeeeew!!!!!!!!!! Utangoja sanaaaaa!

Embu someka kidigitali! Tengeneza mazingira, anza huo mchezo wenu wa baba na mama, ikianza wet kiss komaaa upewe mambo hayo! Even if it will involve you to beg! Jst beg, persuade, trick whatever gets you laid man! You are pathetic!

Ukishampiga dushelele heshima itarudi na atakuwa hakuadisii ishu za bwana wake tena! Stop being a doll and taken advantage of! Kama joka la kibisaaaa! You are a disgrace to Digital Mnakind!

Jipange ule vituz hivo, maisha ni leo kesho majaaliwa!

Im a bad influence to society and i know! You dont have to reap tellin me! Thank you all!
You're not a bad influence at all..what has to be done gotta be done
 
unajua kaka wala usitishike kuambiwa kuwa ana mtu. cha msingi we zidisha mapenzi na kuonyesha unamjali kiliko kitu kingine. huyo aliyenae inawezekana anamcare kuliko ww sasa kaza uzi mkuu. mbona mi ishawahi nitokea hiyo lkn mi nilizidisha upendo na care hadi sasa bint haambiwi hasikii juu yangu. so komaa mtu mzima. ashakupenda huyoo asingeweza kukupa wet kiss bila kukupenda.
 
Huyo msichana ameshakubali na kama inaweza tokea akaachana na BF wake sababu yako basi ujue hio dhambi itakurudia baadae!!hivo ndivo ilivo
 
habari wanammu wenzangu,natumaini wote mpo salama,ndugu wana jukwaa wenzangu,naomba mnifungue macho ktk hili,kuna mwanamke mrembo nilimpenda na sikusita kumweleza ukweli lakn alinikatalia na kunieleza kwmba ana mtu,kwa takribani mwezi wa tatu sasa nimekua nikiwa nae karibu sana,tumeshawah kukiss (wet kiss) zaidi ya mara tatu,na hzo dry ndo hazihesabk,ila anadai ananipenda km rafk wa kawaida tu,juzi ametoka kuniambia kwmba ananipenda ila hayupo tayar kuwa katika mahusiano na mimi,leo tunapiga story za hapa na pale tukiwa wawili akaniomba aniulize swali,akauliza "kama nikikupa chance though i have someone,will you be ready?",kiukweli nilimuangalia tu na sikumjibu chochote,tafadhali naomba mnisaidie ni kitu gani kinaendelea hapa mimi nipo njia panda,na sielewi lengo lake kabisa,tafadhali naomba ushauri.

mwana umepewa ofa ya u-sexmate hapo. yaani wee unagegeda bila wasiwasi wala majukumu...bf ndio atakuwa anashika pembe wee wakamua
 
Hapo bwana yake hasomeki ndo maana,we chukua mtoto,anashindwa tu kukuambia ukweli uliopo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom