Huo ndio ukweliKwenye kila mafanikio kuna uchafu Fulani hufunikwa na kaniki nyeusi tii usionekane
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndio ukweliKwenye kila mafanikio kuna uchafu Fulani hufunikwa na kaniki nyeusi tii usionekane
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!Wahaya wapo bright in term of hustling and making money .
Duh! Kumbe kuna Yahaya tena! List yake ya masponsor itakuwa ndefu mwendokasi 10 zinajaa 🤣
View: https://www.instagram.com/p/C4q3BNdy_Cy/?utm_source=ig_web_button_share_sheet
Watu wana dhambi 😂😂Nasikia niffer kaoa?
Itakua ni kosa kubwa hapa kwetu Tanzania🤣🤣🤣🤣Watu wana dhambi 😂😂
Hivi kwani nikimpenda mtu na nina uwezo wa kumuwezesha, nikimuwezesha ni kosa hapa Tanzania?
hahaha asee hiyo duka haifai kuwekwa hapaMtoa mada hata picha yake basi. Au hata Duka lake au bizaa anayo uza. Lakini wapi maneno mengi mnooo
Noma sana 🤣
🤣Watu wana dhambi 😂😂
Hivi kwani nikimpenda mtu na nina uwezo wa kumuwezesha, nikimuwezesha ni kosa hapa Tanzania?
Kasema niffer kaoa na kamfungulia mumewe duka la simu na pia anadanganya watu kuwa ye supa wimen wakati ela ya mtaji kapewa na yahaya anaeishi south africa na adi leo yahaya akimtaka niffer anampata!🤣🤣🤣🤣Kwani Da Mange Kasemaje?![]()
![]()
![]()
![]()
Kasema niffer kaoa na kamfungulia mumewe duka la simu na pia anadanganya watu kuwa ye supa wimen wakati ela ya mtaji kapewa na yahaya anaeishi south africa na adi leo yahaya akimtaka niffer anampata!🤣🤣🤣🤣
Shamim sitamsahauKhatare ,Oghopa aiseeee!! Mafanikio ya mtu kweli ni siri ,hata Shamim Zeze Mwasha 8020 fasheni na yeye alisema alianza na mtaji wa elfu 10 mpaka kuwa na ukwasi mkubwa kutembelea Vogue Autobiography kumbe behind the scene walikuwa wanauza NGADA na mmewe ,currently is behind bars serving life sentence.
Shamim sitamsahau
Alikua ananifanya nijione kilaza sijui kusave ela
Anatuambia wiki hii ukisave elf 70 wiki ijayo weka 140k kumbe mwenzetu anachota tu za unga anaeka kwenye kibubu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tena mange kasema huyo yahaya akimtaka hata sasa anapiga tuZa kuambiwa changanya na zako......Niffer aanze na mtaji wa elfu 40 mpaka kuwa Milionea hahaaa akawadanganye wauza ukwaju wenzake.