Sasa ww na Niffa nani Chizi?Alijifanya chizi Baada ya kufundishwa adabu kupitia njia ngumu kaanza kutembea na tasbih kama mufti wa Lebanon
So what?Mwanzo sikujua kama muislam.
Baada ya kuachiwa akasoma
Surat-Tin yaani sura ya 95
"Alaisallahu bi ahkamil hakimin" (أَلَيْسَ اللَّهُ بِأَحْكَمِ الْحَاكِمِينَ)
Mafundisho wa aya hii
1. Allah ndiye Mwamuzi wa haki zaidi
Hakuna mwanadamu au kiongozi duniani anayeweza kulinganisha uadilifu na hekima ya Allah. Mafisiri wanasema hili linatufundisha kutegemea hukumu na maamuzi ya Allah zaidi ya yale ya binadamu.
2. Hekima ya Allah haipimiki
Aya hii inatufundisha kwamba hekima ya Allah ni kamili na kamwe haiwezi kukosekana au kupungukiwa. Hii inatufundisha hofu na heshima kwake katika maisha yetu ya kila siku.
3. Kutegemea hukumu ya Allah
Inatufundisha kutojiamini kwa kiwango kikubwa katika hukumu za binadamu pekee. Tunapokuwa katika hali ya shaka, tunapaswa kutegemea Hukumu ya Allah kama kielelezo cha haki.
4. Kumbusho la maadili ya uadilifu
Kwa kuwa Allah ndiye Hakimu zaidi, Aya hii inatufundisha kuiga baadhi ya sifa hizi: kuwa waadilifu, kutatua migogoro kwa usawa, na kuzingatia hekima katika maamuzi yetu.
5. Imani na tawakkul
Mafundisho haya pia yanatufundisha kuweka imani na mtazamo wa tawakkul (kutegemea Allah) katika kila hali, kwani Yeye ndiye anayejua yote na kuamua kwa haki kamili.
Huyu binti mdogo anakaza kufanya biashara huku huku vibabu mliozeeka mnajifanya uvccm mnahonga hadi vinyeo mpate teuziAlijifanya chizi Baada ya kufundishwa adabu kupitia njia ngumu kaanza kutembea na tasbih kama mufti wa Lebanon
Hakuna mtu amekuzuia dini yako au kukuingilia, acheni kutumia dini kugawa Taifa, mta suffer kuliko maelezo, jitoeni akili tuuMuislam dini mbele mengine baadae
Wewe mdini na mwizi wa makanisani , ile tabia yako ya kujifanya kilema ili ukaombewe na wachungaji fake ili ulipwe baada ya kuangusha magongo, naona imekupa laana ya maisha and you will never recoverAlijifanya chizi Baada ya kufundishwa adabu kupitia njia ngumu kaanza kutembea na tasbih kama mufti wa Lebanon
Kwa hiyo unashangaa muislamu kumpinga yule kahaba wa kizanjibar 😁😁😁 ...waislamu wa kawaida siyo WAPUMBAVU NA WAPUUZI kama MASHEKH...ndiyo maana MASHEKH wana muunga mkono Samia ila ,Samia ajapigiwa kura hata kwenye mikoa yenye waislamu wengi ...si tanga si pwani si mtwara si bagamoyo si dar es salaam....waliopiga kura DAR ES SALAAM AWAZIDI 16000 MKOA WOTE , SASA WAISLAMU KWANINI AWAKUMPIGIA KURA HUYO MUHUNI?Mwanzo sikujua kama muislam.
Baada ya kuachiwa akasoma
Surat-Tin yaani sura ya 95
"Alaisallahu bi ahkamil hakimin" (أَلَيْسَ اللَّهُ بِأَحْكَمِ الْحَاكِمِينَ)
Mafundisho wa aya hii
1. Allah ndiye Mwamuzi wa haki zaidi
Hakuna mwanadamu au kiongozi duniani anayeweza kulinganisha uadilifu na hekima ya Allah. Mafisiri wanasema hili linatufundisha kutegemea hukumu na maamuzi ya Allah zaidi ya yale ya binadamu.
2. Hekima ya Allah haipimiki
Aya hii inatufundisha kwamba hekima ya Allah ni kamili na kamwe haiwezi kukosekana au kupungukiwa. Hii inatufundisha hofu na heshima kwake katika maisha yetu ya kila siku.
3. Kutegemea hukumu ya Allah
Inatufundisha kutojiamini kwa kiwango kikubwa katika hukumu za binadamu pekee. Tunapokuwa katika hali ya shaka, tunapaswa kutegemea Hukumu ya Allah kama kielelezo cha haki.
4. Kumbusho la maadili ya uadilifu
Kwa kuwa Allah ndiye Hakimu zaidi, Aya hii inatufundisha kuiga baadhi ya sifa hizi: kuwa waadilifu, kutatua migogoro kwa usawa, na kuzingatia hekima katika maamuzi yetu.
5. Imani na tawakkul
Mafundisho haya pia yanatufundisha kuweka imani na mtazamo wa tawakkul (kutegemea Allah) katika kila hali, kwani Yeye ndiye anayejua yote na kuamua kwa haki kamili.
Andika comment ieleweke acha kujaza neno "ili" mara nyingi ndani ya mada moja nyumbu weweWewe mdini na mwizi wa makanisani , ile tabia yako ya kujifanya kilema ili ukaombewe na wachungaji fake ili ulipwe baada ya kuangusha magongo, naona imekupa laana ya maisha and you will never recover
Umeelewa nilichoandika maharage mabovu wewe, acha wizi na udiniAndika comment ieleweke acha kujaza neno "ili" mara nyingi ndani ya mada moja nyumbu wewe
Kumbe !!! na jina la JENNIFER JOVIN !,walidhani mkatoliki !Mwanzo sikujua kama muislam.