Nyakwaratony
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 573
- 140
Ni tabu sana kuishi na mtu asiejiamini.Nyie mnatakiwa nyote mjiamini!
Msaidie mwenzio akuamini halafu maisha yataendelea. Mfano, usifanye siri mikutano yako. Kama ana nafasi mkaribishe akusindikize, anaweza kuzurura ama kupata kinywaji pembeni wakati wewe unaendelea na shughuli zako. Akikuamini na kujijengea confidence kwako basi atakuacha hata hamu ya kukusindikiza itamuisha.
Muache akuonee wivu bana, si anakupenda. Wenzio hawaulizwi hata habari za kazi!
Habari zenu wapendwa?
Nimepata ajira mpya katika kampuni flani kitengo cha masoko (marketing) kama mjuavyo marketing inahitaji mtu uzunguke sana ukutane na watu sana... nimeanza kupata appointment na watu mbali mbakli wengine hunialika lunch ili tukanegotiate biashara... shida inakuja kwa mpenzi wangu hanielewi kabisa kisikia kuwa nakwenda lunch na mtu flani hasa mwanaume kwa ajili ya kunegotiate biashara anahisi kama hwua kuna mengine zaidi. Mimi kwa upande wangu hwua hakuna cha zaidi isipokuwa ni biashara tu. na iliwahi kutokea kuwa mbaba mmoja alinihaidi kunipa tender flani ila kigezo atoke na mimi. nilikataa na biashara iliishia hapo.
huwa napata wakati mgumu sana katika kufanya marketing ukizingatia mimi ni msichana. naomba ushauri nii-face vipi hii situation pia nimuelewesheje mpenzi wangu anielewe kuwa mimi nipo kikazi na sio vinginevyo? je wadada wenzangu halii hii imeshawakuta? mlii-solve vp?
Asanteni na karibuni kwa michango na ushauri pia.

Endelea kumueleza na kumsisitizia kuwa kazi ndiyo inakulazimu kuwa unatoka mara kwa mara na si mapenzi yako. Na akumbuke kuwa kazi ndiyo inakuweka mjini, bila kazi unakuwa si mtu si lolote!
Lakini na wewe upunguze kwani lazima negotiation zote zifanyike wakati wa lunch? Wewe au huyo unaye negotiate naye hana ofisi? Hakuna sehemu nyingine yeyote isiyo na mashaka ambayo mnaweza kuitumia kwa negotiation?
Angalia, wasije hao jamaa wakaanza ku-negotiate na wewe vitu vingine, hizi lunch hizi zimewacost watu wengi sana. Take care!
Habari zenu wapendwa?
Nimepata ajira mpya katika kampuni flani kitengo cha masoko (marketing) kama mjuavyo marketing inahitaji mtu uzunguke sana ukutane na watu sana... nimeanza kupata appointment na watu mbali mbakli wengine hunialika lunch ili tukanegotiate biashara... shida inakuja kwa mpenzi wangu hanielewi kabisa kisikia kuwa nakwenda lunch na mtu flani hasa mwanaume kwa ajili ya kunegotiate biashara anahisi kama hwua kuna mengine zaidi. Mimi kwa upande wangu hwua hakuna cha zaidi isipokuwa ni biashara tu. na iliwahi kutokea kuwa mbaba mmoja alinihaidi kunipa tender flani ila kigezo atoke na mimi. nilikataa na biashara iliishia hapo.
huwa napata wakati mgumu sana katika kufanya marketing ukizingatia mimi ni msichana. naomba ushauri nii-face vipi hii situation pia nimuelewesheje mpenzi wangu anielewe kuwa mimi nipo kikazi na sio vinginevyo? je wadada wenzangu halii hii imeshawakuta? mlii-solve vp?
Asanteni na karibuni kwa michango na ushauri pia.
Kazi ndio kila kitu chako ndugu yangu, mwanaume ni mtu wa kupita tu umekutana nae, kama hanashindwa kukuelewa, mpige chini atapata somo.
Caution: Jaribu kuchunguza mwenendo wake kwani hawezi kukudhania kwa kitu kama hiki kama yeye hakifanyi.