Nifanyeje

Nifanyeje

Isije ikawa ni mtu mmoja anatumia ID mbili tofauti maana sio mida amelalamika kuwa umeanza kumuimbia tenzi za rohoni. Haya mwenzako yupo kwenye mfungo na mnawatoto mlioana kwa dini gani? Kama sio we we mwenye watoto basi utanisamehe.
 
Kuna mwanaume anaonesha kunipenda sana ila hisia zangu zinapotea kutokana na dini yake ye mwislam mi mkristu leo nimemwach anaonesha kuumia sana nifanyeje.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu mnaendekeza hizi dini za kikoloni... yaani usiwe na hisia na mtu eti kisa dini yake!!!

We sema tu huna hisia nae utaeleweka, lakini eti kwamba huna hisia kisa dini; hakuna kitu kama hicho!!!
 
Back
Top Bottom