Nifanyeje?

Nifanyeje?

Wewe pia una makosa yako mengi tu, kwa maelezo uliyoyatoa hapo japo hujataka kusema. Hauna ukamilifu ndugu japo anakosea kama unavyosema hata wewe unayo.
Jitafakari mana wewe ndo mwenye maamuzi ya mwisho. Leo mtoto wako hata kama humtakii
 
Sijamkataa mtoto wala ila tu kuna hali nataka huyu mpenzi wangu aipitie ila aelewe hasa ni kwa nini nilitaka tusubiri tujuane vizuri na pia nataka nihakikishe kuwa nikiendelea kumtunza mtoto basi awe na nidhamu ya kuwa mke na si vinginevyo maana swala la mke sio swala dogo na yeye naona aliongeza spidi akataka zaidi
 
Kwa kweli siwezi sema hiyo mimba sio ya kwangu maana moyoni mwangu najua mimba ni yangu,Huyu binti sio mjanja kiasi cha kunipa mimba ya mtu mwingine maana naelewa mzunguko wake wa hedhi vizuri na papuchi yake nimeingia hadi kwenye kona nikikataa kwamba sio wangu nitakuwa sijitendei haki wala huyo mtoto
Duh, mkuu[emoji12]
 
Yaani hauna uhakika?Na pia hauna shaka?Kama mtoto sio wako?LABDA UJIULIZE KWANZA,UNAMPENDA?Jibu utakalolipata,litakusaidia kufanya uamuzi.Kama utalea mtoto,au utakuwa nae pamoja na mtoto.Ila toka mwanzo kama ulikuwa haupo tayari kupata mtoto,ungetumia njia za uzazi wa mpango.Tofauti na hapo.Usimuhukumu kwa kutoa mimba ya kwanza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom