Nifanyeje wakuu?
Mbaliche
JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Messages
293
Points
195
Mbaliche
JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2011
293 195
wakuu naomba ushauri wenu! Nina mahsiano ya kimapnz na huyu dada ya pata mie 9 sasa. Simjui ndg yake hata mmoja, wala hamjui ndg yang yeyote hata kw2 hakujui. Lakini ametokea kuniamini kpta kiac, kwni anini kabidhi pesa ni mwekee, ambazo maishani mwangu cjawai zshika. Na hataki nilale kwangu anataka nikae kwake. Kfupi kazi anayo fanya na pesa anayo
nikabidhi nitofaut kabisa.
Kaunga
JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Messages
12,573
Points
2,000
Kaunga
JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2010
12,573 2,000
Kwani tatizo ni nini?
U r not worthy it or huna mapenzi kwake?
Kama shida ni utofauti wa kazi na kipato, muulize akwambie!
Mbaliche
JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Messages
293
Points
195
Mbaliche
JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2011
293 195
U r not worthy it or huna mapenzi kwake?
Kama shida ni utofauti wa kazi na kipato, muulize akwambie!
nimejaribu kuuliza kanijb hayani husu. Halafu some time anani shushia dharau.@ hutakuja kutafuta pesa kama iz
NCHABIRONDA
JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2011
Messages
292
Points
225
NCHABIRONDA
JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2011
292 225
izi pesa ni sepenazo? Chakushangaza kila nkimshauri kuhsu bank hataki hata kunisikiliza
tatizo ni wewe mwenyewe unapaswa kwanza ujitambue je unampenda huyo dada? Kama kweli unampenda lazima ufuate taratibu zote zinazotakiwa ili muishi kama mme na mke. Unanipa hofo kidogo unaposema kwamba unaishi na huyo dada zaidi ya miezi 9 hujui kwao na yeye hajui kwenu! Mmeokotana huko mitaani mkaamua muanze kuishi kama mme na mke!!! Matatizo mengine huwa tunayatafuta sisi wenyewe. Kuhusu hela wasiwasi wako nini wakati hujui historia ya huyo mwanadada? Kwani unajua wazazi wake wakoje? Usije ukashangaa hizo hela anazokupa zikawa ndo zile hela zetu za Epa, Richmond n.k. Ujumbe: acha kuvamiavamia mabinti usiowajua kwani siku zote si kila ving'aavyo ukadhani vyote ni dhahabu.
Kaunga
JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Messages
12,573
Points
2,000
Kaunga
JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2010
12,573 2,000
nimejaribu kuuliza kanijb hayani husu. Halafu some time anani shushia dharau.@ hutakuja kutafuta pesa kama iz
Hapo kuna shida! Kama haziekezeki kabisa kwa maana hana biashara aifanyayo au hajarithi kwa kibabu cha kizungu kilichokuwa kimemuoa Lol; ndugu yangu, mwambie huwezi kujihusisha na pesa ambazo hazina explaination, ikiwezekana tishia kumuacha!
Kaunga
JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Messages
12,573
Points
2,000
Kaunga
JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2010
12,573 2,000
izi pesa ni sepenazo? Chakushangaza kila nkimshauri kuhsu bank hataki hata kunisikiliza
Tena usithubutu hata kiwazia hiyo kitu! Kwanzia anza kumpeleleza; pata at least fone no ya mmoja wa ndugu zake, ongea nao jitambulishe utajua tu background yake!
By the way mlikutanaje? JF nini maana humu waweza meet ghost! LOL
Mbaliche
JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Messages
293
Points
195
Mbaliche
JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2011
293 195
Tena usithubutu hata kiwazia hiyo kitu! Kwanzia anza kumpeleleza; pata at least fone no ya mmoja wa ndugu zake, ongea nao jitambulishe utajua tu background yake!
By the way mlikutanaje? JF nini maana humu waweza meet ghost! LOL
nilikutana ktk mazgr ya kawaida. Nikamtongoza 2kakubaliana. Kila nikimweleza khsu mimikujitamblsha kwandgze ananiambia mapenz ye2 ndg hayawahs.
Magoo
JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Messages
445
Points
195
Magoo
JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2011
445 195
wewe ni mwanaume ukizubaa utashangaa unaozea segerea kama m2 humfahamu hujui historia yake kama anajihusisha na madawa ya kulevya?? kama ni fisadi ofisini kwake?? kama ni jambazi?? oooohhhh zubaa uzikwe mwanaume lazima uonyeshe msimamo wako komaa naye akueleze vizuri kuhusu yy na familia yake na uwafahamu otherwise achana naye ama pesa zinakuzuzua kwake?? open yo mind
YoungCorporate
JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2010
Messages
389
Points
195
YoungCorporate
JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2010
389 195
men handle their bizz bro! Fanya uchunguzi chinichini lazima atakuwa na rafiki zake, wafanyakazi/biashara wenzake! Ww ndio me unatakiwa kucontrol situation kuwa serious akueleze whts going on! Ndugu sio ishu sana kama hayupo tayari kuolewa kwa sasa, nafikiri ni rahisi kumfahamu mtu unapokuwa nae karibu! Fanya uchuznguzi ila uwe makini asije akaloose trust yako.
Gajungi
JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Messages
209
Points
195
Gajungi
JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2011
209 195
Fanya uchunguzi. Lakin kwa anavyotoa majibu kwa mwanaume I dont see her as a potencial wife. Hata kama ni msela hatakiwi kukutreat namna hiyo. Tafuta mtu ambaye hatakupa pressure ngudu hapo si pazuri kabisa. SI VIZURI KUENDELEA KUUMIZA KICHWA HAPO.
Forum statistics
Threads 1,392,946
Members 528,739
Posts 34,122,934
Top