Nifanyeje wakuu?

Nifanyeje wakuu?

By the way mlikutanaje? JF nini maana humu waweza meet ghost! LOL[/QUOTE]&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;
He!!, kwani humu jf kuna binadamu!?
 
karipoti polisi watakusaidia kukupelelezea historia yake
 
JINI HUYO linafanya kazi za Kimansons sepa mkuu...... kazi ni kwako
 
<br />
<br />
nilikutana ktk mazgr ya kawaida. Nikamtongoza 2kakubaliana. Kila nikimweleza khsu mimikujitamblsha kwandgze ananiambia mapenz ye2 ndg hayawahs.


mhh mbona anakujibu dry sana?
hakujali ata kdg...dzain anaona uwez kuchomoka ushazuzuka na pesa anazokupa umshikie..na yeye amekukabidh makusud ili ugande vzuri...

dzain anakufanya SEX MACHINE...hana mapenzi na wewe ata kdg...UMEWEKEWA MZIGO wa pesa ili uzubae nao...


ACHA ULIMBUKEN KAKANGU...sepaaaaaaaaaaaaa..na inakuwaje unakubali dharau km izo?
 
Heee! Mshakuwa wapenzi kabisa au ndio mpo kwenye kutongozana stage?!
 
hbu siku paka mafuta ya nguruwe af kaa karibu nae....................huh
 
Angekuwa na kaba ya ulimi ningekwambia uongee nae ajibu maswali yako lakini kama hiyo ndio style yake ya kukujibu! sidhani kama utapata majibu ya kuridhisha. Jaribu kuwa firm, mpe choice 2 either awe wazi kuhusu maisha yake binafsi au muachane,utajua cha kufanya baada ya yeye kuchagua kati ya hizo choice 2.
 
jifanye umelala kama wiki hivi kumbe umacho unamchunguza tu then utalala mchana utapata jibu tu ila ukikosea step tu umeondoka.
 
Ufanyeje!!!!!? MTAFUTE MANGI MMMOJA UMPE AKUSHKIE HIZO ELA AFU KAMA VIPI NIPE NAMBA YA HUYO DEMU WAKO NIKUSAIDIE KITU!
 
Back
Top Bottom