Nifanyeje uridhike CHARTY Mpenzi?

Hebu mnukuu mi nimekosa kuiona sehemu aliyonyoosha mikono au aliyosalimu amri.

Ni kweli mkuu jamaa bado amekomaa na mimi niliangalia vibaya!
Hii movie itaisha tu mikwara ya kitoto hiyo!
 
Mie najuaga ni kipozeo cha Richpol kumbe ni wewe tena kibo?Tokea lini?
 
Last edited by a moderator:
Umpe vyote hivyo kisa upewe pindigesi tu?

Duh...ata kwetu wenye shida wapo,asijifanye yeye ndo ana haki sana ya kuhudumiwa.

Only Stupid can handle this!
 
afu charty ana mume wake na kauzi alianzishiwa jinale nimesahau
 
Last edited by a moderator:
Rudi mtazame tena Shardcole amenyoosha mikono na kanitakia kila la kheri!

Mkuu hapana sijanyosha mikono juu, nilikuwa namtafuta charty kwenye cim lakin hapatikani, maana sielewi kabisa kinachoendelea kati yako na yeye.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hapana sijanyosha mikono juu, nilikuwa namtafuta charty kwenye cim lakin hapatikani, maana sielewi kabisa kinachoendelea kati yako na yeye.

Usijisumbue kumtafuta nishamwifadhi kitambo tu na namba nimemsajilia nyingine kabisa!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…