kipusy
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 639
- 321
mke wangu ananikaidi sana maamuzi yangu. alienda kwao kumsaidia mama yake kazi fulani, alivyomaliza hakurudi mapema kama nilivyomuagiza, mpaka sikukuu ya xmass imepita ndio anakuja, nimemzuia asije tena mpaka nitakapo muita... lakini anakuja tu kinguvu... mama mkwe apokei simu yangu..... NIMUADHIBU VIPI???? HASA KISAIKOLOJIA????