Nifanyeje niweze kununua gari?

Mbona rahisi sana. Ingia kupatana.com kuna gari hadi za milioni 3.
Hongera kwa kumiliki nyumba maana kuna wengi wana magari ila nyumba bado ndoto.
 
Mimi ni mjasiriamali wa kiwango cha chini.Kwa kuwa dunia ya sasa inachukulia gari kama Nyenzo na sio asana.
Naomba mbinu za kuniwezesha na mimi kumiliki gari.
Wenzangu mnaomiliki magari mlifanyaje mpaka mkaweza kumiliki gari?
Karibuni
Jiunge na ccm
 
I'd yako inaonyesha unajitosheleza huko kumkichwa...ASA unashindwa hata jambo rahisi kama hiloo...

nakushauri hivii;sio hadi ununue mgari wako ndio uridhike..

Kodi gari uendeshe mwenyewe ama tafuta kazi ya uderevaaa[emoji58]

no easy shortcuts to success; work hard[emoji47]
 
Mimi ni mjasiriamali wa kiwango cha chini.Kwa kuwa dunia ya sasa inachukulia gari kama Nyenzo na sio asana.
Naomba mbinu za kuniwezesha na mimi kumiliki gari.
Wenzangu mnaomiliki magari mlifanyaje mpaka mkaweza kumiliki gari?
Karibuni
Cheza BIKO
 
Wengine wanamiliki gari kwa ajiri ya kuwasaidia kupata wanawake wazuri,maana ndo nyenzo mbadala kwa madomo zenge.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] avha utan mkuu na uzi wa watu
 
Ngoja nikwambie kitu kimoja kwanza kama sio viwili,.kununua/kumiliki gari ni jambo moja na kulifanya gari kuwa barabarani/kuliendesha ni jambo lingine,.

Em' tafakari kwanza ww kama mjasiriamali mdogo,.
Hatimaye nimekuona usisahau kunipa lift babe
 
Hahahaha
 
Mimi ni mjasiriamali wa kiwango cha chini.Kwa kuwa dunia ya sasa inachukulia gari kama Nyenzo na sio asana.
Naomba mbinu za kuniwezesha na mimi kumiliki gari.
Wenzangu mnaomiliki magari mlifanyaje mpaka mkaweza kumiliki gari?
Karibuni
Halafu unaajiita Tumaini The Genius?! hebu badili hiyo ID kwanza kisha njoo tena uulize hilo swali.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…