Ulikosea mno kurudiana nae...sasa run and run
^^
Namshukuru Mungu, napata riziki ya kadri,, vipi Mkuu, Unaendelea vipi na maisha huko?
^^
Nakuomba nitofautiane na wewe. Huyu jamaa anampenda sana huyu mama ila nadhani kuna pahala hawaelewani. Ni bora wakaketi wawili wakalimaliza hili tatizo. Mtu kuachana na mpenzi akamfuatilia na kutaka kuchoma nyumba ni upendo uliopitiliza na kuwa kero. Bibie akijirudi wataishi raha mstarehe.Ulikosea mno kurudiana nae...sasa run and run
Nakuomba nitofautiane na wewe. Huyu jamaa anampenda sana huyu mama ila nadhani kuna pahala hawaelewani. Ni bora wakaketi wawili wakalimaliza hili tatizo. Mtu kuachana na mpenzi akamfuatilia na kutaka kuchoma nyumba ni upendo uliopitiliza na kuwa kero. Bibie akijirudi wataishi raha mstarehe.
Nakuomba nitofautiane na wewe. Huyu jamaa anampenda sana huyu mama ila nadhani kuna pahala hawaelewani. Ni bora wakaketi wawili wakalimaliza hili tatizo. Mtu kuachana na mpenzi akamfuatilia na kutaka kuchoma nyumba ni upendo uliopitiliza na kuwa kero. Bibie akijirudi wataishi raha mstarehe.
mi sio mkorofi hata yeye anajua, na kishule yeye amesoma kuliko mimi. nilimuacha kwa kuwa alikuwa akinipiga, emotional abuse na mengineyo ambayo nilishawahi kusema kwao. nilimpeleka polisi baada ya kuachana maana alikuwa akinifanyia fujo na kunitishia kuniua akinikuta na mtu, na akija nyumbani kwetu anatishia kumwaga petrol achome nyumba.
Naona upo kama bendera, unapepea tu upepo unakoelekea....pole
Climaxupgrade ndo nini? Mwalimu wangu hakumaliza hiyo topic....nakutamani kinyama we mtoto fanya iwe real wengine tuna phd ya climaxupgrades
Khaaa mwanamke unapigana na mwanaume sijui mumeo loh afu eti anakwambia mrudiane kwee kwee huyo unajipeleka ! We unamatatizo !!!
Climaxupgrade ndo nini? Mwalimu wangu hakumaliza hiyo topic....
Kwa hiyo wewe hayo yote hukuyaona mpaka ukakubali kurudiana na wewe, akianza tena kukutishia na kutaka kuchoma nyumba yenu utaenda tena police? au akuue kabisa ili uende police vizuri.,, kwanini unashindwa kujitambua na kujithamini?mi sio mkorofi hata yeye anajua, na kishule yeye amesoma kuliko mimi. nilimuacha kwa kuwa alikuwa akinipiga, emotional abuse na mengineyo ambayo nilishawahi kusema kwao. nilimpeleka polisi baada ya kuachana maana alikuwa akinifanyia fujo na kunitishia kuniua akinikuta na mtu, na akija nyumbani kwetu anatishia kumwaga petrol achome nyumba.