Nifanyeje nisipotee Dar?

Panda Dar Lux...ukifika Ubungo Dar sio ya kupotea utafika unakokwenda uzuri kabisa. Zingatia haya:
1. Kama bajeti inaruhusu siku utakayofika tumia Taxify au Uber kule uendako
2.Ukiingia Ubungo bus terminal nenda ofisi za utawala uliza swali lako kwa Afisa Usalama aliepo atakuelekeza
3. Piga simu kwa mwenyeji wako
4. Anzisha sledi yenye kichwa NIMESHAFIKA DAR wenyeji tutakuelekeza nini ufanye ili usipotee.

Karibu Dar wamkoani huku chakula kikuu vyepe...ila ukizingua tuna panya road tutaagiza wakudhibiti.
N'yadikwa
 
Ukifika dar nunua kilo 5 za unga wa sembe half kila utapotembea mwaga unga kiasi kama alama,ili usipotee wakati ukirejea hom hapo ulipofikia kwa wenyeji wako
 
Kama unaakisi chochote na avatar yako nitakuja kukupokea ukifika nitafute kwa hizi vodes 0712 261738
 
Pia naomba kujua nipande gani tokea hapa Mwanza, naelekea dar kwa Mara ya kwanza kikazi

Njoo pm mtoto wa kisukuma nitakupokea na kukutafutia mahali pa kulala na kukutembeza mji mzima uliojaa majengo marefu yanayovutia mpaka usahau hilo gorofa lenu la bugando huko mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…