Nifanyeje nirudi chumbani kwangu?

Nisingehama in the first place, siku zote huwa naamini katika mazungumzo na kama imefikia hatua ya kuhama nitahama niende kwetu kabisa na wazo la kurudi halitokuwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapenda kuwa singo maza, wenzio waliojifanya jeuri na kurudi makwao au kwenda kuishi nyumba nyingine kwasasa wanajuta wanatamani warudi
 
Unapenda kuwa singo maza, wenzio waliojifanya jeuri na kurudi makwao au kwenda kuishi nyumba nyingine kwasasa wanajuta wanatamani warudi
Kama wanajuta ujue walikurupuka kama mtoa mada alivyokurupuka kuhama chumba. Mimi huwa sikurupuki hata siku moja ndio maana kama umenisoma pale mwanzo nimesema naamini katika mazungumzo ukiona hadi nimefika hatua ya kuondoka basi jua nimefika point of no return

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke haombi msamaha.
We jifanye unaumwa hoi. Mgongee chumbani kwake mwambie unaumwa akupeleke hospitali. Fanya drama hapo urudi chumbani kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app

Daaa wewe very complex

Nimekupenda bure ...... kwenye ugonjwa hakuna mjanja kabisaa jamaa yangu lazima aingie king mzima mzima.

Good technical methodology 🙏🙏
 

And why should you inter point of no return?

In a long run always things became better ....trust me, no matter how worst it was.
 
Na Mimi huwa siamini kama kwenda kwenu ndo suluhu kwanini usiende kwetu ukanishtaki kwa wazazi wangu? Ndoa ni kuvuliana sana, kama mwanamke huna busara na kufikiria katika 3D kwa maisha ya sasa utaumia sana
 
Kuna kitu kimoja...wanawake, hamkuumbwa kiume! Kwahiyo usitatue mambo yako kwa njia za kiume! Eti akipanda na wewe unapanda...matokeo yake sasa...yule shetani (wenyewe mnaita hasira sijui nini) akishakuacha mwenyewe..ndio kama hivyo sasa..huna pa kuanzia...maana nature imechukua mahali pake once again...you're a woman once again...
 
Mi nilijifanya nimekabwa na jinamizi nilipiga kelele,, akaja mbio, akasema kwa ukali nenda chumbani, nikajifanya kugoma, akarudia acha upumbavu akanivuta kwa nguvu ( kumbe nilikua nataka kurudi) hahaa, nikaenda fasta. Ila mi nilikua sebuleni kwenye sofa ndo nalala,, WAPENDA KUSUSA 😂😂😂😂
 
Tumia kei yako wewe! Mimi nikiudhiwa huwa ananirudisha kwenye reli na kei. Sinaga ujanja.
 
ungeingia tu ukatandika kitanda fresh ukapanda ukalala kimyaaa usiangaike kutaka ye ajishushe

Hii ndio point muhimu kwenye comment yako.

Sometimes nikupuuza tu na maisha yanaenda.

Anaingia nakuendelea namaisha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…