uungwana classic
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 2,324
- 2,091
Inawezekana isifikie kiwango cha demu ila kushtua unashtua na kwa vile ni halali mzigo utapiga, hasa kwa mazingira kama ya mwenye uzi inawezekana jamaa naye hataki kushuka chini lakini yakitengenezwa mazingira kila kitu kinakaa sawaHujawahi kuishi na mwanamke eeeh??
Mke uliyemzoea hata akilala uchi wala hastui,
Huyo sio demu wa siku mojamoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada chukua ushauri wa huyu mtaalamuMwanamke haombi msamaha.
We jifanye unaumwa hoi. Mgongee chumbani kwake mwambie unaumwa akupeleke hospitali. Fanya drama hapo urudi chumbani kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Don't be afraid for losing people, be afraid of losing yourself trying to please everyone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkewangu alimikemea san kisa tu nimetoka kuangalia mpira jioni na nilimuaga akaninunia kabisa , baasi bwana mtu hasemi na mimi nikaondoka nikaenda bar kumeza bia muda wa saa tisa naingia hom nakuta mtu yupo macho anatweta tu kwa hasira na wala hanisemeshi nilokaa kimya siku 3 tu akatishia kunywa sumu yeye na watoto baasi nika mwambia dada kalete sumu ya panya ya elfu kumi akaleta nikakoroga na maji nusu ndoo nika mwambia dada kamwambie mzigo upo tayati annywe na awaweshe watoto,wakati huo nipo nje ma simu nazuga naongea na mchepuko asee hakunya wal nini na alikuja kupiga magoti nakuomba msamha ,mpaka wa leo u sister du umemuisha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Kaza hivyo hivyo mzee mama[emoji1][emoji1][emoji1], usikate tamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa ni balaa hahha.Du!! hapa hata usingizi haupiti yeye nasikia anakula mziki tu hana wasiwasi
Hahahaaaaaa nimecheka sana mkuu daaaahhh!!
Nina kama wiki hivi tulitofautiana kidogo na mume wangu. Tuligombana sana ila sio ngumi inshort alinikwaza.
Sasa kwa hasira nikahamia kulala chumba cha wageni nikidhani baada ya muda atakuja kunibembeleza na kuniomba msamaha yaishe nirudi chumbani.
Du!!! Sasa wiki imekatika jamaa hata muda hana natamani kurudi chumban lakini naanzaje maana niliamisha baadhi ya nguo na pochi zangu na vipodozi vyangu aisee jamaa hana time yaani tena akiingia chumbani anafunga na funguo.
Mimi hasira zimeisha naona aibu kurudi.
Nipeni mbinu jamani nifanyeje aanze yeye kunibembeleza?
HahhahahhaMkewangu alimikemea san kisa tu nimetoka kuangalia mpira jioni na nilimuaga akaninunia kabisa , baasi bwana mtu hasemi na mimi nikaondoka nikaenda bar kumeza bia muda wa saa tisa naingia hom nakuta mtu yupo macho anatweta tu kwa hasira na wala hanisemeshi nilokaa kimya siku 3 tu akatishia kunywa sumu yeye na watoto baasi nika mwambia dada kalete sumu ya panya ya elfu kumi akaleta nikakoroga na maji nusu ndoo nika mwambia dada kamwambie mzigo upo tayati annywe na awaweshe watoto,wakati huo nipo nje ma simu nazuga naongea na mchepuko asee hakunya wal nini na alikuja kupiga magoti nakuomba msamha ,mpaka wa leo u sister du umemuisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke haombi msamaha.
We jifanye unaumwa hoi. Mgongee chumbani kwake mwambie unaumwa akupeleke hospitali. Fanya drama hapo urudi chumbani kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahh haa,jamaa yako anatatua matatizo yako kama mimi,yaani mke wangu akisusa siku nimemis mgegedo nitakoroma mara moja tu kwa sauti ya kiume "nenda kalale chumbani" akendelea kugoma narudia "unajua acha ujinga nimesema nenda chumbani hunielewi"?Mi nilijifanya nimekabwa na jinamizi nilipiga kelele,, akaja mbio, akasema kwa ukali nenda chumbani, nikajifanya kugoma, akarudia acha upumbavu akanivuta kwa nguvu ( kumbe nilikua nataka kurudi) hahaa, nikaenda fasta. Ila mi nilikua sebuleni kwenye sofa ndo nalala,, WAPENDA KUSUSA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpigie simu mgeni yeyote ambaye ndo chumba chake iko, akija uhamie kwakoNina kama wiki hivi tulitofautiana kidogo na mume wangu. Tuligombana sana ila sio ngumi inshort alinikwaza.
Sasa kwa hasira nikahamia kulala chumba cha wageni nikidhani baada ya muda atakuja kunibembeleza na kuniomba msamaha yaishe nirudi chumbani.
Du!!! Sasa wiki imekatika jamaa hata muda hana natamani kurudi chumban lakini naanzaje maana niliamisha baadhi ya nguo na pochi zangu na vipodozi vyangu aisee jamaa hana time yaani tena akiingia chumbani anafunga na funguo.
Mimi hasira zimeisha naona aibu kurudi.
Nipeni mbinu jamani nifanyeje aanze yeye kunibembeleza?
Basi abaki huko huko chumba alichohamia.Na kama mzinguaji alikuwa mwanaume afu mwanamke arudi kuomba msamaha aiseee maisha yake yatakuwa ya ivoivo....kakosewa yeye anaomba msamaha
au akaribishe wagen hata mdogo wake wa kiume au binamu kisha nenda chumban kwa kisingizio hichoSubiri wageni wakija utaenda [emoji1787]