Nifanyeje nirudi chumbani kwangu?

Nifanyeje nirudi chumbani kwangu?

Anna pita

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
227
Reaction score
427
Nina kama wiki hivi tulitofautiana kidogo na mume wangu. Tuligombana sana ila sio ngumi in short alinikwaza.

Sasa kwa hasira nikahamia kulala chumba cha wageni nikidhani baada ya muda atakuja kunibembeleza na kuniomba msamaha yaishe nirudi chumbani.

Du! Sasa wiki imekatika jamaa hata muda hana natamani kurudi chumbani lakini naanzaje maana niliamisha baadhi ya nguo na pochi zangu na vipodozi vyangu aisee jamaa hana time yaani tena, akiingia chumbani anafunga na funguo.

Mimi hasira zimeisha naona aibu kurudi.

Nipeni mbinu jamani nifanyeje aanze yeye kunibembeleza?
 
Jishushe Tu Rudi Lkn Hapo Ndipo Utaona Maana Ya Neno Hasira Hasara Mnatikisa Kiberiti Kikiwaka Mnakimbia

Bahati Mbaya wote Mnakiburi Hakuna Alie Utayari Kujishusha Kwamwenzie Pia Yaonekana Kama Mapenzi Yenu Yamradi Siku Ziende 7babu Mwanaume Hamnunii Mkewe.

Wewe Rejea Kisha Kuwa Muungwana Jaribu kumueleza Hasira Zangu Zimekwisha Naomba Tuzungumze Na Tutengeneze Amani Maisha Yaendelee

January mama Hii Maisha Yatupige Nanyie Mtusumbue!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom