Mkuuu hii comment yako imechekesha sana.haingiii akilini eti unatumia pesa yako kwa niaba ya serikali.Hivi mmelogwa au? utafikiri hamjasoma! unatumiaje mshahara wako kwenye shughuli za serikali? Ukiitwa kikao na pesa ya nauli,chakula na malazi hakuna USIENDE tena hata ukipigiwa simu na waziri mwambie hakuna nauli na mimi sina pesa. Jadilini mnitumie muhtasari kwa e mail.
Ukisikia kujitowa ndio huko, lakinini kujitoa fahamu.Mkuuu hii comment yako imechekesha sana.haingiii akilini eti unatumia pesa yako kwa niaba ya serikali.
Mkuu nadhani nidhamu ya woga inachangia hapo! Huwez kuwa na uzalendo kiasi hicho!Ukisikia kujitowa ndio huko, lakinini kujitoa fahamu.
Kwa mshahara gani?
Huyu anatakiwa awe promoted kuwa RC wa Dar.
Mfanyie Kama yule mchezaji wa timu fulaniMpigie simu Afisa utumishi umwite ofisini kwako akifika tu mwashe Kofi la nguvu uhakikishe anaenda chini hapo lazima wakupe demotion! Lakini hakikisha uko peke yako ili kusiwe na ushahidi. Akipeleka kesi mbele utamshinda maana amekukuta ofisini kwako!
Madam wewe sio wa spoti spoti. Nimekupenda kwa kweli. Big up sana.Hivi mmelogwa au? utafikiri hamjasoma! unatumiaje mshahara wako kwenye shughuli za serikali? Ukiitwa kikao na pesa ya nauli,chakula na malazi hakuna USIENDE tena hata ukipigiwa simu na waziri mwambie hakuna nauli na mimi sina pesa. Jadilini mnitumie muhtasari kwa e mail.
Na email usijibu mpaka wakupe bando....Hivi mmelogwa au? utafikiri hamjasoma! unatumiaje mshahara wako kwenye shughuli za serikali? Ukiitwa kikao na pesa ya nauli,chakula na malazi hakuna USIENDE tena hata ukipigiwa simu na waziri mwambie hakuna nauli na mimi sina pesa. Jadilini mnitumie muhtasari kwa e mail.
Mkuuu hii comment yako imechekesha sana.haingiii akilini eti unatumia pesa yako kwa niaba ya serikali.
Na email usijibu mpaka wakupe bando....