Nifanyeje? Nina STRESS sana!!

Nifanyeje? Nina STRESS sana!!

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
5,903
Reaction score
1,983
Wadau,nina stress kupita kiasi!!
Je,ni njia gani bora ya kupunguza au kuondoa kabisa stress?
Maana naogopa hali ikizidi hivi naweza nikajidhuru!
Msaada wenu Chit Chatters,namaliza vipi stress?
 
Ulivyochunguza zinatokana na nini?
1.Umeachwa?
2.Huna Hela?
3.Umesimamishwa kazi?
4.Una magonjwa?
 
Jaribu kufanya kile kitu ambacho unakipenda sana, kama vle kuchek movie,kusikiliza music n.k. Nazan vtakusaidia. Pole sana
 
Usikae tu mwenyewe, kaa na watu mpige story inasaidia....

Pole!!!
 
Push stress mbele. Utawaza kesho. Nenda pub ya karibu agiza tatu baridiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nimewahi kuwa na demu miaka ya nyuma,ila tuliachana kitambo,na miaka yote nimeishi single bila shida yoyote.

Ok tatizo lako nishalijua!!! Kama una kipato kidogo ebu tafuta mrembo unayevutiwa naye akuondolee stress!!! Kuchuja kunaondoa stress sana mkuu ebu pitia sredi za MziziMkavu ,mupenzi atakua anakufanyia massage +kuchuja jaribu stress zote zitaondoka!!
 
Last edited by a moderator:

Oh,Thanks,
Let me think about it!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna stress nyingi..ila zinazoumiza (mf mimi)

Kuachishwa kazi
Kuwa na ugomvi na mpenzi/mume/mchumba nk

Nyingine naweza kuhandle hizo mbili huwa ngumu sana kwangu................

Sasa wewe unastress ya nini kuwa wazi kama huelewi basi unamatatizo mno lazima ujue nini shida.......
 
Mkuu Dena Amsi,ngoja nijitathmini,maana najisikia mpweke with dark future!!
Ngoja nitulie,lazima kuna tatizo mahala.
 
Last edited by a moderator:
Dah,pole sana ndugu.
Nimekusoma threads unazoleta hapa jamvini nikajua kuna kitu hakipo sawa.
Mkumbuke sana Mungu na kujenga uhusiano naye,stress zitakwisha!
Pia usisahau kufanya mazoezi na kujumuika na wenzio.
Pole sana aisee!
 
Nahisi kinachokupa stress ni JF, nadhani unajiuliza maswali mengi sana kwa nini mada zangu zinafutwa, kwa nini wanataka kunipiga ban bila kosa, kwa nini watu wananikosoa sana humu na mambo mengine kama haya, ila usijali sana mambo yatakaa sawa tu. Pole.
 
Mkuu Lateni,siamini kama jambo rahisi hivi laweza kumpa mtu stress kiasi cha kutamani kujidhuru.
Lazima kuna jambo zito anapambana nalo maishani huyu.
 
Last edited by a moderator:
kuna uwezekano unakaribia kufa au kufiwa...hivyo hakikisha unajikabidhi kwa Muumba usijepotelea motoni.
*hiyo ni theory tu, siwezi i-prove kwa namna yoyote hivyo sitaki wala sihitaji maswali*
 
Mkuu Dena Amsi,ngoja nijitathmini,maana najisikia mpweke with dark future!!
Ngoja nitulie,lazima kuna tatizo mahala.

How old are you?
Nani anakupenda zaidi? Mama, baba, bro or Sis? Call the person n chat with him/her a little.

Soma biblia au angalia Emmanuel TV. It works with me, when l am down!
 
Last edited by a moderator:
Wadau,nina stress kupita kiasi!!
Je,ni njia gani bora ya kupunguza au kuondoa kabisa stress?
Maana naogopa hali ikizidi hivi naweza nikajidhuru!
Msaada wenu Chit Chatters,namaliza vipi stress?

Vipi Panya wamepungua home kwako? labda ndo wanakupa stress!

Kama huna dem hebu nunua sabuni flani inaitwa Rexona sijui kama bado ipogi ingia bafuni ondoa stress
 
Wadau,nina stress kupita kiasi!!
Je,ni njia gani bora ya kupunguza au kuondoa kabisa stress?
Maana naogopa hali ikizidi hivi naweza nikajidhuru!
Msaada wenu Chit Chatters,namaliza vipi stress?

Kumbeeeh!? Pole sana rafiki!
 
Back
Top Bottom