Mapenzi hayana formula..... unampenda mtu sana naye anakupenda lakini mjue kuna vipindi vya ups and downs... hiki siyo kipindi cha kuambiayana maneno makali ya kuumizana.Vuta subira , wimbi baya litapita na mambo yatakuwa bien tena.
Lakini kama ni uhusiano usio wa ndoa, kama mtu amethubutu kabisa kukutamkia hakupendi...wala usipoteze muda wako..just move on with your life.Better things are waiting for you somewhere else.